Hii haijakaa sawa,haiwezekani uandae vijana kuwatayarisha kuingia kwenye michezo ya wakubwa miaka ijayo,wakati huohuo hamtaki kuwaandaa referees ambao ni U-17.Mtazamo wangu,mechi zote za U-17 zichezeshwe na referees U-17 wala siyo Over 20
logic yako ipii!?? Marefa u-17 wapo wanaandaliwa nenda umitashumta nenda umiseta utawakuta wanachezesha wapo wanaandaliwa,lakini kwa michuano mikubwa kama hii inayoendelea bado hawawezi shiriki maana kuna vigezo vyake ambavyo moja wapo ni experience na lazima uwe na badge ya FIFA.