Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
logic yako ipii!?? Marefa u-17 wapo wanaandaliwa nenda umitashumta nenda umiseta utawakuta wanachezesha wapo wanaandaliwa,lakini kwa michuano mikubwa kama hii inayoendelea bado hawawezi shiriki maana kuna vigezo vyake ambavyo moja wapo ni experience na lazima uwe na badge ya FIFA.Hujaelewa logic yangu