Dah! Nimesikitika sana, naomba aisiwe ameumia sana aisee.Naona wamesha mvunja goti kijana wetu tegemezi kevini john mbape sijui kama atacheza tena michuano ya Afcon. Nashangaa kwa nn wameandaa haya mashindano wakati wanaona siku zimebakia chache kabla ya Afcon kuanza.
Aisee ukiwatizama unaweza fikiria ni under 23 maumbo makubwa mpaka unajiuliza kule kwao wanalishwaga nn?
Nipo naangalia mechi ya serengeti boys na cameroon ila mijaamaa imeshiba kinyama. Yani wachezaji wa serengeti boys wakienda kukaba wanaanguka wenyewe.
Pale nikama Daudi kumpiga GoriathDakika ya 93 serengeti boys wanapata goli la 2 kwa freekick.. Bonge moja ya goli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kuna mali na leo nimeona wa cameroon nafikiri wanakula mikuku ya kizungu sio kwa body zile.
Haaaa!haaaaaa! yani kuna wakati unawaangalia wakiimba nyimbo za taifa unajisemea rohoni mpaka hapa tushafungwa tatu ata mpir haujaanza.Wachezaji wa kitanzania ndio kina kichuya, shabalala, dilunga... Wachezaji kutoka nje ya nchi mi giant Kagere, okwi, zana, tuyisenge yaani midude kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili ndilo bara letu jeusi yaani mambo yote ni full suit black so jikaze tu mzeeTanzania tuna shida ya kuwa na maumbo madogo,Mimi Nina urefu wa kawaida sana lakini nikiwa kanisani naona wachache sana wamenipita tukiwa tumesimama.
Wenye maumbo makubwa Tanzania na Warefu hawana utamaduni wa kucheza mpira mfano Wanyamwezi na wamasai,wakurya wao wamejikita jeshini.
Wengi wetu urefu wa tulionao tulishaupata ktk umri wa miaka 17,kinachoongezeka labda unene.Mazoezi huleta faida ya mwili uliojengeka,hivyo hao manjemba ya Cameroon wana haki kuonekana wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
bravo.................
Kwanza Nani kakwambia mpira wa miguu kuusakata ni mpaka uwe na umbo kumbeTanzania tuna shida ya kuwa na maumbo madogo,Mimi Nina urefu wa kawaida sana lakini nikiwa kanisani naona wachache sana wamenipita tukiwa tumesimama.
Wenye maumbo makubwa Tanzania na Warefu hawana utamaduni wa kucheza mpira mfano Wanyamwezi na wamasai,wakurya wao wamejikita jeshini.
Wengi wetu urefu wa tulionao tulishaupata ktk umri wa miaka 17,kinachoongezeka labda unene.Mazoezi huleta faida ya mwili uliojengeka,hivyo hao manjemba ya Cameroon wana haki kuonekana wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mimi nimesema Mpira wa miguu kuusakata ni mpaka uwe na umbo kubwa???Kwanza Nani kakwambia mpira wa miguu kuusakata ni mpaka uwe na umbo kumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ukiwatizama unaweza fikiria ni under 23 maumbo makubwa mpaka unajiuliza kule kwao wanalishwaga nn?
Nipo naangalia mechi ya serengeti boys na cameroon ila mijaamaa imeshiba kinyama. Yani wachezaji wa serengeti boys wakienda kukaba wanaanguka wenyewe.
Mkuu hili ndilo bara letu jeusi yaani mambo yote ni full suit black so jikaze tu mzeeView attachment 1060315
Sincerely,Bachelor Sugu
Sent by Tecno Camon11 PRO using Jamii Forums mobile app