Under 17 wa nchi za West Africa

Under 17 wa nchi za West Africa

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Aisee ukiwatizama unaweza fikiria ni under 23 maumbo makubwa mpaka unajiuliza kule kwao wanalishwaga nn?
Nipo naangalia mechi ya serengeti boys na cameroon ila mijaamaa imeshiba kinyama. Yani wachezaji wa serengeti boys wakienda kukaba wanaanguka wenyewe.
 
Tanzania tuna shida ya kuwa na maumbo madogo,Mimi Nina urefu wa kawaida sana lakini nikiwa kanisani naona wachache sana wamenipita tukiwa tumesimama.

Wenye maumbo makubwa Tanzania na Warefu hawana utamaduni wa kucheza mpira mfano Wanyamwezi na wamasai,wakurya wao wamejikita jeshini.

Wengi wetu urefu wa tulionao tulishaupata ktk umri wa miaka 17,kinachoongezeka labda unene.Mazoezi huleta faida ya mwili uliojengeka,hivyo hao manjemba ya Cameroon wana haki kuonekana wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wamesha mvunja goti kijana wetu tegemezi kevini john mbape sijui kama atacheza tena michuano ya Afcon. Nashangaa kwa nn wameandaa haya mashindano wakati wanaona siku zimebakia chache kabla ya Afcon kuanza.
 
Dah! Nimesikitika sana, naomba aisiwe ameumia sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ukiwatizama unaweza fikiria ni under 23 maumbo makubwa mpaka unajiuliza kule kwao wanalishwaga nn?
Nipo naangalia mechi ya serengeti boys na cameroon ila mijaamaa imeshiba kinyama. Yani wachezaji wa serengeti boys wakienda kukaba wanaanguka wenyewe.

Ivi wanaoongoza kwa miili mikubwa afrika ni Egypt eti? Au Algeria na Ghana?
 
Wachezaji wa kitanzania ndio kina kichuya, shabalala, dilunga... Wachezaji kutoka nje ya nchi mi giant Kagere, okwi, zana, tuyisenge yaani midude kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wa kitanzania ndio kina kichuya, shabalala, dilunga... Wachezaji kutoka nje ya nchi mi giant Kagere, okwi, zana, tuyisenge yaani midude kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa!haaaaaa! yani kuna wakati unawaangalia wakiimba nyimbo za taifa unajisemea rohoni mpaka hapa tushafungwa tatu ata mpir haujaanza.
 
Tanzania tuna shida ya kuwa na maumbo madogo,Mimi Nina urefu wa kawaida sana lakini nikiwa kanisani naona wachache sana wamenipita tukiwa tumesimama.

Wenye maumbo makubwa Tanzania na Warefu hawana utamaduni wa kucheza mpira mfano Wanyamwezi na wamasai,wakurya wao wamejikita jeshini.

Wengi wetu urefu wa tulionao tulishaupata ktk umri wa miaka 17,kinachoongezeka labda unene.Mazoezi huleta faida ya mwili uliojengeka,hivyo hao manjemba ya Cameroon wana haki kuonekana wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili ndilo bara letu jeusi yaani mambo yote ni full suit black so jikaze tu mzee
IMG-20190305-WA0001.jpeg

Sincerely,Bachelor Sugu

Sent by Tecno Camon11 PRO using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tuna shida ya kuwa na maumbo madogo,Mimi Nina urefu wa kawaida sana lakini nikiwa kanisani naona wachache sana wamenipita tukiwa tumesimama.

Wenye maumbo makubwa Tanzania na Warefu hawana utamaduni wa kucheza mpira mfano Wanyamwezi na wamasai,wakurya wao wamejikita jeshini.

Wengi wetu urefu wa tulionao tulishaupata ktk umri wa miaka 17,kinachoongezeka labda unene.Mazoezi huleta faida ya mwili uliojengeka,hivyo hao manjemba ya Cameroon wana haki kuonekana wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Nani kakwambia mpira wa miguu kuusakata ni mpaka uwe na umbo kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kula ugali tembele unategemea nini? Ndio maana ata wao ndo waliongoza kuchukuliwa utumwani

Back
Top Bottom