kikikiki umewaza nini nkuungoja nifungue wa wale wote ambao wamebuma kwenye kilimo, hasa cha matikiti!πππ
Miss na wewe ni under au?ha haha mkuu usijali we komaa nasi tu ndiyo kujifunza .. usiogope kusemwa atii ndiyo maisha
haa haaUmemaliza homework?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mnoohao watu kila tukiomba ushauri wanatuambia ngojeni shule zifungue wanatunyanyapaa sana.
Dah... Shule zimefungwa bado? [emoji15]Mkuje humu acheni kujadili mambo ya wazee.
me ni over 30Miss na wewe ni under au?
mkuu na wewe ni under twenty?Hamna tunatoboa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali sana mkuu dahOy mmelala au mko prepo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole dogo hapa duniani huwezi kukwepa unyanyapaa. Tutawanyanyapaa tu maana hata sisi tukizeeka mtatunyanyapaaHahahaa yale yale tuu.. hadi huku wanakuja kunyanyapaa dah noma....