Undergraduate admission 2013/14: Admission form, ardhi university

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,134
Reaction score
998
Hatimaye tumekamilisha kuweka majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika Chuo Kikuu Ardhi na sasa waweza download hapa.

WALIOCHAGULIWA ARDHI UNIVERSITY 2013/14 TEMBELEA WEBSITE YA (Ardhi University) KWA AJILI YA KUDOWNLOAD

1.LIST OF SELECTED CANDIDATES
2.JOINING INSTRUCTIONS
3.FORM C MEDICAL EXAMINATION
4.REGISTRATI0N FORM

Karibu Chuo Kikuu Ardhi-Dar es Salaam.
 
Hatimaye tumekamilisha kuweka majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika Chuo Kikuu Ardhi na sasa waweza download hapa.WALIOCHAGULIWA ARDHI UNIVERSITY 2013/14 TEMBELEA WEBSITE YA (Ardhi University) KWA AJILI YA KUDOWNLOAD 1.LIST OF SELECTED CANDIDATES2.JOINING INSTRUCTIONS3.FORM C MEDICAL EXAMINATION4.REGISTRATI0N FORMKaribu Chuo Kikuu Ardhi-Dar es Salaam.
Thanx but mbona this time hamja-include watu waliopita vyuo vyuo vya ufundi?
 
Hatimaye tumekamilisha kuweka majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika Chuo Kikuu Ardhi na sasa waweza download hapa.

WALIOCHAGULIWA ARDHI UNIVERSITY 2013/14 TEMBELEA WEBSITE YA (Ardhi University) KWA AJILI YA KUDOWNLOAD

1.LIST OF SELECTED CANDIDATES
2.JOINING INSTRUCTIONS
3.FORM C MEDICAL EXAMINATION
4.REGISTRATI0N FORM

Karibu Chuo Kikuu Ardhi-Dar es Salaam.

Tumekamilisha????....we kama nani pale aru??
 
Thanx but mbona this time hamja-include watu waliopita vyuo vyuo vya ufundi?

Taaluma ya hapa kwa sasa ni pure freshers pekee hata course zenyewe ngangali
 
Tumekamilisha????....we kama nani pale aru??

Umeniwahi kumuuliza hilo swali,kwa suala la taarifa hiki chuo ni F kabisa.Almanac inaonyesha orientation inaanza sept 30 wakati barua zinaonyesha tar 7 huku hakuna tangazo lolote kwenye website yao kuhusu hili.
 
Utaratibu wa JKT ndo umepelekea tare 07/10 kwani awamu ya tatu wanatoka tarehe 24/Sept. Je wangekuwa wamejiaandaa muda gani yani toka kambini kurudi home na home kuja chuo ikiwa freshers wangeanza tareh 30/Sept?

We km sio mdau wa Chuo hiki hujalazimishwa kukashfu mada isiyokuhusu ebu jaribu kuwa Great Thinkers @ HGYTXK
 
Sawa Ardhi naona mpaka Yesu karudi ndo mmetoa joining!!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Utaratibu wa JKT ndo umepelekea tare 07/10 kwani awamu ya tatu wanatoka tarehe 24/Sept. Je wangekuwa wamejiaandaa muda gani yani toka kambini kurudi home na home kuja chuo ikiwa freshers wangeanza tareh 30/Sept?

We km sio mdau wa Chuo hiki hujalazimishwa kukashfu mada isiyokuhusu ebu jaribu kuwa Great Thinkers @ HGYTXK

Pole mkuu kama nimekukwaza,kwa ufupi mm ni mdau wa hiko chuo na nipo hapa ARU,sikua na nia ya kukashifu kama ulivyodhani bali ni kutoa dukuduku na kuiunga mkono mada yako.E-bu angalia jinsi wenzetu wa UDSM walivyobadili ratiba yao na jinsi walivyowahi kutoa taarifa kwenye website yao,kwetu mpaka leo hakuna tangazo lolote rasmi linaloelezea hii kitu.Unajua athari yake sasa,ata muda wa SUP/SPECIAL EXAMS hauko wazi zaidi ya tetesi ambazo hazijasibitishwa na chuo mwisho wa siku watu wa mikoani wanaweza kukosa kufanya na ku-disco bila sababu.Angalia ata mfumo wetu wa kutoa matokeo mpaka muda huu ARIS haifanyi kazi na wameweka kama tangazo na ni school moja tu ndio inafanya kazi.Kwa ufupi chuo chetu ni kizuri ila kwenye suala la kutoa taarifa mbalimbali hakipo makini kama nilivyosema awali.Samahani kwa hilo.
 
Msifarakane wanaARU humu JF;nasikitika kusikia mapungufu yanayowakumba ambayo msipotafuta ufumbuzi yakinifu yanaweza kurisk elimu za wasio na hatia...
Jaribuni kuwataarifu viongozi wa serikali ya wanafunzi watafute suluhisho ya hayo matatizo
 
Umeniwahi kumuuliza hilo swali,kwa suala la taarifa hiki chuo ni F kabisa.Almanac inaonyesha orientation inaanza sept 30 wakati barua zinaonyesha tar 7 huku hakuna tangazo lolote kwenye website yao kuhusu hili.

chkua muda soma vizuri sio unakuripka uclas babu kumwa sio udom hcho
 
Hakuna chuo kinachoitwa UCLAS hapa Tanzania mkuu, labda wewe ndio haujafuatilia huu mjadala ungepata jibu kabla haujapost hiki ulichokiweka.Weekend njema.
 
Taaluma ya hapa kwa sasa ni pure freshers pekee hata course zenyewe ngangali

We kweli kilaza na inaonekana hapo ardhi university ni mfanya usafi tu..! Kuna watu kibao hapo wamemaliza technical college miaka 2010/2011 wamechaguliwa hapo na hao ni fresher usikaririshwe kaendelea na usafi sio kushinda humu Jf kandika utumbo
 
Back
Top Bottom