chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Hapana mkuu!!
"Utofauti wa mawazo ndio utajiri wa mawazo!" Alikuwa ana lengo zuri la kutaka kushare nasi alichonacho juu ya hili hatupaswi kupuuza mchango wake.
Nawasilisha!
Asante sana mkuu,jamaa kawa selfish sana.angeniambia siyo hivi bali ni hivi, lakizi kaniropokea na kusepa