Tafadhalini wana jamvi wenzangu naomba msaada wenu kwa kunipa suggestion kwa ajili ya Topic kwa ajili ya thesis yangu! Kama nilivosema ni undergraduate thesis kwenye mambo ya IT especially Networking, Database au ERP systems. Aksanteni! Najua yafaa kukaa Jukwaa la Elimu lakini naomba ikae hapa kwa muda tafadhali!

Ningependa kukusaidia lakini kwanza unasoma shule gani na iliyopo nchi gani?

Underage huyu mazee, wewe msaidie tu! Usiweke masharti ...vinginevyo mPM
Big-up mkuu Zakumi. Na umsisitize sana huyu asi`concentrate kwenye Avatar yako, maana hatakuamini...inatishatisha kidogo Mkulu!
Unapoomba ushauri manake hujui unataka kufanya nini baada ya kumaliza masomo. Thesis inatakiwa ikutayarishe aidha kimasomo au kimaisha. Kimasomo manake unatakiwa uchague topic ambayo itakupeleka kwenye area of interest, kwa hiyo unatakiwa ujuwe ni area gani unataka uwe mzamivu. Alternatively ungeweza kuchagua topic ambayo itakuingiza moja kwa moja kwenye labour force; kwa mantiki hii utachagua topic ambayo inalenga kampuni au taasisi unayotaka kuifanyia kazi.
mwantumuJunior Member Join Date: Wed Oct 2009Posts: 1 Thanks: 0Thanked 0 Times in 0 Posts Jamani, embu wa field hii Msaidieni huyu mgeni wetu, japo tayari ameingia hadi chumbani... na anaonyesha kujua vitu kedekede vya JF!...LOL!Mi kimsingi nakukaribisha , sijui ni mdada, sijui ni mkaka...karibu mwaya, siku nyingine ukumbuke kupiga hodi eeh!
Unaingia hadi chumbani bila hata kugonga mwaya siku nyingine utakuta hatujavaa nguo au tuko katika yale majambozzzz.
Ningependa kukusaidia lakini kwanza unasoma shule gani na iliyopo nchi gani?
Unapoomba ushauri manake hujui unataka kufanya nini baada ya kumaliza masomo. Thesis inatakiwa ikutayarishe aidha kimasomo au kimaisha. Kimasomo manake unatakiwa uchague topic ambayo itakupeleka kwenye area of interest, kwa hiyo unatakiwa ujuwe ni area gani unataka uwe mzamivu. Alternatively ungeweza kuchagua topic ambayo itakuingiza moja kwa moja kwenye labour force; kwa mantiki hii utachagua topic ambayo inalenga kampuni au taasisi unayotaka kuifanyia kazi.
Very good observation.
Kwanza nadhani huyu anazungumzia dissertation sio thesis.
Pili, fursa ya kuchagua topic ya dissertation ni fursa adimu sana ambayo sisi wengine hatukuweza kuipata kutokana na sababu moja au nyingine. Kwa mawazo yangu kupata topic sio kitu kigumu kwa mwanafunzi anayejua vyema fani yake, na wala huitaji kuwa astrophysicist kujua fani yako inahusika na kutatua matatizo gani ktk jamii.
Kutokana na matatizo au motives ndipo hapo watu huwa wana-brainstorm research questions etc etc etc.
Kwa kifupi huyu mleta hoja amenidissappoint sana.