Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And then how much money are you earning for that!Lakini nawakimbiza wakongwe
Nje JF mimi naweza kuwa babu, usitafute laana wewe! By the way ukifunika wakongwe JF unapata faida gani? Come back to your own rail!Namiliki genge nauza nyanya....ww ndo upo hapa JF kwa ajili ya kutafuta pesa!!!
Soma post vizuri uone km kuna dharau au funny au kunahusu nini......upo nje ya mada !!!SIE TULIOJIUNGA JF BAADA YA PINDA KUWA WAZIRI MKUU TUNASHIDA SANA TUNATAKA TUJIITE NA SIE WAKONGWE
TUNAUNGANA NA WATU AMBAO WALIOJIUNGA JF WAKATI DR SLAA NDIE MGOMBEA WA URAIS CHADEMA
TUNAWADHARAU WALIOJIUNGA JF BAADA YA UJERUMANI KUCHUKUA WORLD CUP
ILA TUMESAHAU KUNA WATU WAKO HUMU WAMEJIUNGA WAKATI AMINA CHIFUPA (R.I.P) YUPO HAI NA MBAYA ZAIDI WAO HUWA HAWAJISIFU CHOCHOTE WANATUCHORA TU
Kampa kampa tena, Makapuku wameendelea kukimbiza.......
List sio ishu tushakuwa level zingine....hadi wakongwe wanatetemekaKampa kampa tena, Makapuku wameendelea kukimbiza.
Ila kwenye ile list ni Hatari, tunaelekea kutupwa nje wote[emoji134]
WoyooooooooMakapuku woyooooo....
Hapo sasa ndo napokukubali presidaa,List sio ishu tushakuwa level zingine....hadi wakongwe wanatetemeka
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nenda ukanitag..... Mbona mi sikuiona?Nilipeleka kathread MMU kupima upepo....kule inaonekana kuna kaumoja kao......
Tukiamua inakuwa juu tu otherwise iwe haigusi watuNilipeleka kathread MMU kupima upepo....kule inaonekana kuna kaumoja kao......
Jinsi ya kuopoa demu mkali !Nenda ukanitag..... Mbona mi sikuiona?