Underground vs Wakongwe wa JF

Tuwaachie kibanda chao bhana japo ki1 .....wasoje fanya figisufigisu bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani kuna mwenye jina lake pale??
 
Kwani kuna mwenye jina lake pale??
Kuna watu wanamiliki vibanda /majukwaa hata hapa Chit chat nilipigwa sana mikwara nilipodondosha thread ya 1 ....lakini sasa nishawatuliza
 
Kuna watu wanamiliki vibanda /majukwaa hata hapa Chit chat nilipigwa sana mikwara nilipodondosha thread ya 1 ....lakini sasa nishawatuliza
Hata pale ukikomaa mambo yanakuwa sawa tu, cha msingi ni kukomaa tu
 
Hivi juice ya ukwaju muda huu inapatikana wapi??? Najisikia kuwapa raia wanywe[emoji484] [emoji484]
Inapatikana Manzese darajani pale
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tsh [emoji638] [emoji646] [emoji646]
.......................
 
Inapatikana Manzese darajani pale
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tsh [emoji638] [emoji646] [emoji646]
.......................
Acha nikanunue...

Kampa kampa tena.......
 
Huu isijekuwa mlango wa nyuma katika mpango ule unaotaka admin watoe data za member wa JF
 
Hivi nikitaka kwenda mbagala kutokea masaki napita njia gani vile ????!!
Panda daradara mpaka kivukoni, ukifika panda mv dar es salaam mpaka bagamoyo, kisha panda daradara mpaka makumbusho , ulizia gari za kwenda tegeta ukizipata panda mpaka kibaoni. Kata tiketi ya gari LA mwendokasi mpaka kariakoo ukisha fika kariakoo panda daradara za kwenda simu 2000 au ubungo, ukifika ubungo panda Abood mpaka morogoro. Kisha anza kuulizia mbagala ni wapi maana hata mie sijawahi kufika huko mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…