Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Kuna wanamuziki ambao wamefanya mambo makubwa sana katika fani ya muziki hapa Tanzania na pengine Africa na hata duniani. Hata hivyo hawajapata kutambulika kulingana na mchango wao sawasawa. Uzi huu una lengo la kuwatambua na kuwapa saluti yao. Naanzia hapa na wewe ongezea!
Dyna Nyange
Grace Matata
Barnaba Boy
Ongezea sasa........
Dyna Nyange
Grace Matata
Barnaba Boy
Ongezea sasa........