Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hapo kwa Barnaba nimekuelewa maana Barnaba pengine hana kile kinaitwa bahati maana yule ni mtunzi mzuri na pia ni muimbaji mzuri sana kuwai kutokea...Na ukitaka kuamini hayo uliza ni nyimbo gani amewatungia watu na zimefikishwa wapi? Watu wote alio watungia nyimbo wamepiga hela mfano Vannesa,Rubi,Peter msechu,Dyna Nyange,Shilole..Wote hao kila wimbo alo watungia zimekuwa hit kali.Kuna wanamuziki ambao wamefanya mambo makubwa sana katika fani ya muziki hapa Tanzania na pengine Africa na hata duniani. Hata hivyo hawajapata kutambulika kulingana na mchango wao sawasawa. Uzi huu una lengo la kuwatambua na kuwapa saluti yao. Naanzia hapa na wewe ongezea!
Dyna Nyange
Grace Matata
Barnaba Boy
Ongezea sasa........
Mwanzo nilidhani tatizo management na promo lakini I was wrong maana Barnaba alishakuwa chini ya THT ya Clouds na promo alipewa sana na kila media humpa support lakini wananchi hawampokei ipasavyo...
Kwakweli hadi leo sijawai pata jibu kwanini Barnaba hakui kimuziki?Nabaki kusema kuwa hana bahati jambo ambalo uwezi kulieleza au kulitolea ushahidi.
Ninachoweza kusema tuu ni kuwa Barnaba pole sana.