Undersea/underwater tunnel year 2030 (Kigamboni - Magogoni). Is it possible?

Undersea/underwater tunnel year 2030 (Kigamboni - Magogoni). Is it possible?

UNAWEZA KUTWAMBIA ITACHANGIA KIASI GANI KATIKA UCHUMI WA NCHI BAADA YA KUMALIZA HIYO TUNNEL YA KIGAMBONI -POST.

HIVI HUKO SHULE MLIENDA KUFANYAJE SASA. YAANI KILA KITU MNATAKA BILA PLAN YOYOTE ILI MRADI NA NYIE MUWEMO.

DARAJA LA KIGAMBONI HALIJASOVE TATIZO NA KWANINI MPAKA LEO BADO WATU WANATOZWA HELA.

VYUO KAMA IFM,CBE WANGEPEWA MAENEO HUKO MKURANGA AU BAGAMOYO WAKAJENGE HUKO CAMPUS KUBWA KUACCOMORDATE WANAFUNZI WAO WAACHE KUJIBANZA HUKO KIGAMBONI.

KIGAMBONI INGEJENGEWA VITU VYA MSINGI KAMA MASOKO,MAJENGO YA BIASHARA NA JENGO KAMA LILE LENYE MADUKA 2000 PALE UBUNGO ILI WAWEZE KUJISUSTAINI NA WATU WATAKAOKUWA WANAKUJA MJINI WAWE WACHACHE TU NA WAPITIE DARAJANI.
 
Acha unaa wee jamaa..
 
Kwahiyo wewe haujui faida za Kigamboni - Magogoni Underwater tunnel??..
NCHI INAMAMBO YA MSINGI MENGI AMBAYO NI MUHIMU NA HAIJAFANYA KAMA WATU KUPATA HUDUMA ZA AFYA BURE,ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU,KUTENGENEZA MADAWATI,KUAJIRI WALIMU,MADAKTARI NA MANESI.

NYIE WATU WA KIGAMBONI MNA FAIDA GANI MNAYOINGIZIA SERIKALI MPAKA MUIFILISI KWA KUWAJENGEA TANNEL CHINI YA MAJI.

UNAHISI KUJENGA TUNNEL KUNA FAIDA YOYOTE YA KIUCHUMI,AU NI MIHEMKO INAKUSUMBUA!!!
 
Morocco 🇲🇦 na Uhispania 🇪🇸 zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili.

Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha 175-475 m. Ikikamilika, itakuwa mojawapo ya tunnels ndefu zaidi duniani na kuifanya iwe njia ya haraka na ya bei nafuu ya kusafirishia bidhaa na watu kati ya Afrika na Ulaya.

SWALI: 2030 tukiamua kujenga underwater tunnel kama hii from Magogoni to Kigamboni tukaamua kuachana na Panton itawezekana??..
Inawezekana kabisa ila serikali ya CCM haikubali kwani wakifikiria wanaona ni jambo lisilowezekana ila linawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom