sawa bossUndetectable Untransmittable.
Kwa miaka mingi tulizoea window period ya miezi mitatu. Sikuhizi kuna advance technology virus huonekana baada ya wiki mbili. Ulizia technology iliyopo kwenye clinic iliyokaribu nawe.Nahisi kama unaongea na mimi, huu ni uzi wako wa pili kuhusu ukimwi tangu nijiangushe uwanjani.
Nilipimwa HIV miezi miwili nyuma sikukutwa nao. Nimejiangusha uwanjani wiki mbili nyuma, lini niende kupimwa tena?
Namaanisha lini virusi vitaonekana?
Clinic niliyo karibu hapana. Wapi kuna hiyo technology kwa Dar es Salaam?Kwa miaka mingi tulizoea window period ya miezi mitatu. Sikuhizi kuna advance technology virus huonekana baada ya wiki mbili. Ulizia technology iliyopo kwenye clinic iliyokaribu nawe.