UNDP: In the long run, COVID19 will have significant risks to sectors in Tanzania especially tourism

Kwahiyo? What a stupid statement “Buashee”
Huu ugonjwa upo kwa miaka mingi ijayo. cha muhimu ni kubadilisha life styles zetu. Tuanze kutumia vitamin C kwa wingi, mazoezi kwa wingi.

Kuwa na barakoa kadhaa kila unaposafiri, kukumbuka kununua vitakasa mikono. Corona ni ugonjwa ambao upo hivyo cha muhimu ni kutambua namna ya kuishi nao. AIDS ilianza hivi hivi miaka ya 1980 mwanzoni na watu wakapambana nayo mpaka ukawa ni ugonjwa uliozoeleka.
 
Tumewazoea washasema mpaka Mei tugekuwa tumekufa 10,000 lakini tunadunda. Wapo wafanyakazi huko UNDP wanaandika ripoti ili kuwafurahisha wazungu ili walete pesa. Wapo wengi tu wanaopika data sisi wengine tumefanyakazi huko tunaujua mchezo.
 
Hivi wazungu wakiamka wanaifikiria Tanzanian! Tangia makinikia wanatuombea mabaya lakini sisi tunasonga mbele
 
Toka lini UN imeanza kuwa mpira ramli wa kigiriki?
 
Hivi wazungu wakiamka wanaifikiria Tanzanian! Tangia makinikia wanatuombea mabaya lakini sisi tunasonga mbele
Very strange. Utabiri wao ni fake. Wanatumia vigezo gani? Nchi gani ambayo sasa hivi haina risks za Corona? Utopolo
 

Pumba tupu, nyinyi ndio mnasifia USA kwani Corona kwao imeisha? Mbona wanaandamana bila social distancing na lockdown mliyokuwa mnaisifia. Tanzania dawa ya Covid-19 imepatikana sasa iweje tuathiriki. Huo ndio tunaita wivu wa kike. Mmekuwa watumwa wa akili.
 
Ni sawa na kutangwa maji kwenye kinu unapoiambia serikali ya Tanzania mambo ya economic risk assesment na impact zake wana namna zao za kufanya mambo (be it impact inayoongelewa na UNDP kama vile exaggerated).

Anyway kikubwa kwetu kwenye kukabiliana na impact za kiuchumi kipindi hiki muhimu kujiaminisha vitu tu kutoka kichwani and everything will be OK.
 
Hivi wazungu wakiamka wanaifikiria Tanzanian! Tangia makinikia wanatuombea mabaya lakini sisi tunasonga mbele
Sio kweli, hata zamani haya yalikuwepo sema yalikuwa handled kitaaluma zaidi na serikali ilikuwa inawasikiliza wataalamu, siku hizi wanasiasa ndio wamekuwa wasemaji wa magojwa na jinsi ya kujikinga.
 
Soma kwanza mkuu ili ujadili context. Wewe unaparamia tu maskini. Siasa kila mahali. Halafu naona umefufuka karibia na uchaguzi. Ulikuwa unatafuna vitumbuwa tuu.
Tatizo ni hiyo kugha ya ”Kichaga” aliyo tumia mwandishi!
 
Unakosea kidogo kwa kuandika as if maambukizi yanaendelea, wakati hii report one base kwenye , probability 3
1. Yakutokuwa na maaambukizi
2. Yakiwa na moderate maambukizi
3 yakiwa kuna ongezeko kubwa la maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…