UNDP: In the long run, COVID19 will have significant risks to sectors in Tanzania especially tourism

Weakeness kubwa ya ripoti hii ni kuweka taswira kama vile Covid iko Tanzania tu, badala ya kuangalia swala hilo kidunia. Inakuwaje waweke effort kubwa hivyo kuandika Covid Tanzania badala ya Marekani, Brazil na Urusi ambako ndiko watu wengi wanakufa kwa ugonjwa huo?
 
Hao sio wabaya, wanajaribu kuonesha ni namna ipi inaweza kuchukuliwa na kuzingatia Kwa umakini tangu sasa na hata badaye Kwa kuwa athari za Covd 19 zitakuwa ni za muda mrefu

Mashirika ya kifedha ya ndani hasa mabenki yetu hayataweza kuhimili pamoja na jamii yetu zaweza kuathirika zaidi Kwa kuwa tangu na kabla ya janga hili jamii kubwa bado ilikuwa ikiishi katika umaskini mkubwa, hivyo, linapokuwepo janga kama hili, jamii inahofuwa kwamba, inaweza kujikita ikiwa katika umaskini mkubwa zaidi mara mbili yake ikilinganishwa na ilivyokuwa

Kwa hiyo, Mimi nawaunga mkono hawa Jamaa Kwa tafadhari Yao, kwamba, Serikali na kila mtu ajaribu kuona ni Kwa namna ipi Nzuri ya kuchukua ili kutoathirika Sana katika kipindi kijacho, ikizingatiwa kwamba, hofu ya uchunguzi huu, biashara zitaathirika zaidi katika kipindi kijacho, utalii nao bado hautabiriki Kwa sababu mataifa makubwa yanayotoa watalii wengi, bado yameendelea kuwa na athari kubwa ya maambukizi ya Corona

Na Kwa mbaali ni kama unawaona ni kama wanapendekezo la mbaaali kuhusu mashirika ya kifedha Duniani ikiwezekana Jambo hili lichukuliwe na kutizamwa Kwa namna ambayo inafaa
 
Watahangaika sana na Tanzania ila hawataweza

Baba wa Taifa alitufundisha jinsi ya kuishi na maadui wanaojifanya marafiki

Spot on, these idiots should be chucked out of the country. What are they doing in Tanzania? They only look after their interests.
 
Kila nchi ina ripoti yake ni kama ripoti ya uchumi kila nchi ina ripoti ya uchumi wake.
 
Spot on, these idiots should be chucked out of the country. What are they doing in Tanzania? They only look after their interests.
Unazijua project za UNDP Tanzania? au unasema kufurahisha jamvi.
 
Watuache na data zao za husda.Walisema corona itatuuwa kama kuku wa kideri badala yake imewarudia wao.Watalii watakuja na kama taifa tutatoboa
 
Kwanini Nyie msiandike ya hizo nchi
 
Unazijua project za UNDP Tanzania? au unasema kufurahisha jamvi.

They can go to hell, all these bloody International companies are there to serve their masters.
 
Sio kila kitu kinachoandikwa na UNDP na mashirika mengine ya kutoka nje ndiyo yanaweza kuinua uchumi/maisha ya Watanzania. Tujifunze kutoka kwenye ugonjwa wa Covid-19. Mitishamba yetu imetibu huu ugonjwa kwa haraka zaidi kuliko dawa wanazopendekeza wazungu, tuache ukasuku!
 
Tatizo la dinia, ila wamtumainio Mungu watangara
 
Diversity is healthy, those with their own through and deep analysis air them out, let the shallow minded be free also with their shallowness.
 
Tumewazoea washasema mpaka Mei tugekuwa tumekufa 10,000 lakini tunadunda. Wapo wafanyakazi huko UNDP wanaandika ripoti ili kuwafurahisha wazungu ili walete pesa. Wapo wengi tu wanaopika data sisi wengine tumefanyakazi huko tunaujua mchezo.
Nadhani, ili kutupa nasi moyo ikiwa pamoja na kuwajibu hao walotoa hiyo report, ungetusaidia basi na taarifa za idadi ya (hapa Tz) waliopimwa, waliokutwa na maambukizi,waliolazwa, vifo na waliopona, kwa mwezi april , may mpaka sasa; ingefaa kwa siku. Siye wengine hatujazipata muda sasa. Natanguliza shukurani kwako.
 
Kwa mtindo huu wa kuchangia hoja inakuwa vigumu kupata elimu toka jamii forum!
H
Niliwahi kusema humu, hili jukwaa limejaa mbumbumbu, nikapewa bun

Humu hakuna mtu anayechangia kwa hoja tena bali ufuasi wa vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…