moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Hujanielewa!! Nilikua namponda huyo jamaa kwamba hajaelewa andiko, kwa sababu limeandikwa “Kichaga”, nikimaanisha English! Niondolee ukiazi ndugu yangu!!Kiazi mwingine huyu hapa🤦🏾♂️
Nilikua namkosoa jamaa kwamba, hakuelewa Kwa sababu imeandikwa lugha asiyojua! Kichanga= English! Umenivika ukiazi bila kunielewa mkuu!Kiazi mwingine huyu hapa🤦🏾♂️
Unataka idadi ya corona ili iweje mbona hujauliza wagonjwa wa malaria ambayo ndiyo inaongoza kuua watz? Usikopi toka uzunguni wazungu ugonjwa wa corona ndiyo ugonjwa unaowasumbua.Nadhani, ili kutupa nasi moyo ikiwa pamoja na kuwajibu hao walotoa hiyo report, ungetusaidia basi na taarifa za idadi ya (hapa Tz) waliopimwa, waliokutwa na maambukizi,waliolazwa, vifo na waliopona, kwa mwezi april , may mpaka sasa; ingefaa kwa siku. Siye wengine hatujazipata muda sasa. Natanguliza shukurani kwako.
Pole mada mbele yetu haikuwa malaria. Waonekana hauna data zozote za corona, ila una hoja hewa za kutosha.Unataka idadi ya corona ili iweje mbona hujauliza wagonjwa wa malaria ambayo ndiyo inaongoza kuua watz? Usikopi toka uzunguni wazungu ugonjwa wa corona ndiyo ugonjwa unaowasumbua.
Tatizo uelewa wako ni mdogo ndiyo maana huwezi analyze issues bali unakariri tu!Pole mada mbele yetu haikuwa malaria. Waonekana hauna data zozote za corona, ila una hoja hewa za kutosha.
Samahani kiongoziNilikua namkosoa jamaa kwamba, hakuelewa Kwa sababu imeandikwa lugha asiyojua! Kichanga= English! Umenivika ukiazi bila kunielewa mkuu!
Sawa mkuu!Samahani kiongozi
anatakiwa akoment tu aingize siku...Mkuu umesoma hiyo habari na kuielewa au umecomment tu basi
Labda ulifanya kazi ya kufagia vyoo maana hata ukijua Kisukuma tu unaweza fagia. Lugha ya report hiyo hata wenye zile PhD toka kule hawaoni ndani.Tumewazoea washasema mpaka Mei tugekuwa tumekufa 10,000 lakini tunadunda. Wapo wafanyakazi huko UNDP wanaandika ripoti ili kuwafurahisha wazungu ili walete pesa. Wapo wengi tu wanaopika data sisi wengine tumefanyakazi huko tunaujua mchezo.
Kumbe nchi zote UN,mbona imeletwa kishabiki as if reports inahusu Tanzania tu?Hii assessment ni kwa nchi zote zenye UN. Niko Ghana. UNDP pia wametoa report kama hiyo. Haya ni maagizo ya SG Guterres. Usijijengee maadui ambao hawapo. Usiwe paranoid.
Mabeberu wamesubiri miili/maiti zizagae barabarani hadi wamechoka!! Sasa wameachana na miili kuzagaa wamekuja na "unabii" mwingine!! Wanadai athari za muda mrefu kwenye utalii! Cha kujiuliza ni:Watahangaika sana na Tanzania ila hawataweza
Baba wa Taifa alitufundisha jinsi ya kuishi na maadui wanaojifanya marafiki