Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,353
- 1,784
Zito kavuta mkwanja, kumbuka DP world wali target wana siasa wa ccm wenye midomo domo wakala Chao, wakaja kwa Zito na baadhi ya waandishi wa habari, Zito kelele zake zote huwa ni pesa tu akilamba basi alhamdulihah .
Kumbuka kelele zote alikuwa ana piga issue ya covid19, serikali ipate pesa , serikali itume proposal, serikali ikapewa mpunga na machanjo, masks zika mwagika ili hali covid ilikuwa ime kwisha, pesa zime kuja waka piga kakaa kimya , mbona havai masks sasa? Na mboba watanzania hawa chanjwi na hawafi? Huyo ni mwizi sugu ndio maana zilikuwa hazipandi na serikali ya awamu ya tano.
Kwa huo usanii wake, ndio maana chama lake halikubiki Tanzania bara maana walisha mshitukia.
Dp world alianza kwa kusifia kwanza, ohh hakuna mkataba mzuri kama huu, ohhh kwa mara ya kwanza umeenda bungeni, baadae kahamisha goal debate ilipo waka moto akadai tuunde mbia kati ya DP world na TPA hizo ni kukosa msimamo