ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Unene huu, nimepiga mazoezi ya kutosha muda mrefu haupungui, nimefuata diet ndio kwanza unaongezeka ..nataka upungue fasta inashindikana...unene huu mzigo kama kuna ushauri wa kuupunguza fasta nimwagieni hapa, Mamsapu analalamika, unamsumbua, sibebeki!!