Unene huu mwenzenu...

Unene huu mwenzenu...

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Unene huu, nimepiga mazoezi ya kutosha muda mrefu haupungui, nimefuata diet ndio kwanza unaongezeka ..nataka upungue fasta inashindikana...unene huu mzigo kama kuna ushauri wa kuupunguza fasta nimwagieni hapa, Mamsapu analalamika, unamsumbua, sibebeki!!

url
 
Kwa spidi hiyo ninayo iona usiwe na wasiwasi utapungua tu sibulia kisukari kwanza.
 
Mimi pia ni kibonge sana nina kilo 77..ila nilianza mazoezi kama wiki imepita hivi hua naamka asubuhi kama saa kumi na moja nakimbia kuzunguka uwanja wa mpira mara sita..na mazoezi madogo mengine..after that nachemsha maji ya moto kama lita moja naweka na limao mbili,,pia nimepunguza kula and i see changes
 
change your lifestyle, kama unafanya diet and then unapiga maji haujafanya kitu. Diet isiwe ya siku mbili bali change your eating routing, watch out for fatty food you need to cut them down. I managed to shed 20 kg in six months, with exercise, incorporate weight lifting also.

Lastly check mnayo genetic ya unene kwenye family sometimes it does.
 
Back
Top Bottom