Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,625
mkuu umenichekesha sana....haaaaa"utazani dumu la petroli"
kweli wanaume kuwa na vitambi kama ectopic haipendezi kabisa. inakata kote koteMbona mtoa uzi hajataja jinsia lkn nyie mwawasakama wanawake tu????au hakuna wanaume wenye vitambi vya kuning'inia????au mwafkir wanawake wanavifurahia vtambi vya wanaume????
Wangekuwa miti tungewachana mbaowangekuwa wanaliwa kweli walaji wengefaidi sana mimafuta na nyama iliyonona
yaani popote wakiona key wanafunguka tu jamani hili jukwaa la tiba looMbona mtoa uzi hajataja jinsia lkn nyie mwawasakama wanawake tu????au hakuna wanaume wenye vitambi vya kuning'inia????au mwafkir wanawake wanavifurahia vtambi vya wanaume????
Kunalalika.hujalala
teh! pole, mazoezi yote anayokupa shem hupungui tu, itabidi tutafute namnaKunalalika.
Joto kali, nasie wanene tena ndo kuzidiπ
Kiongozi, unazungumzia kama huu auHamjambo wapendwa,
Naanza kwa kusema jamani kunakuwa na ongezeko kubwa la watu kuota vitambi na kunenepa ovyo.
Yapo madhara mengi sana yatokanayo na unene kama kuongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu.
Vijana jiepusheni na vitambi vya kushtukia za hivi. Fanyeni mazoezi na kudhibiti chakula.
Mazoezi nafanya. Na napiga kazi km mchina lkn ajabu sikondi.teh! pole, mazoezi yote anayokupa shem hupungui tu, itabidi tutafute namna
Mazoezi nafanya. Na napiga kazi km mchina lkn ajabu sikondi.
Utasema nna raha vile
Hbr za kupotea swahiba?Angel Nylon π
Maisha mazuri huwezi kukonda bana!
Pia, wengine tunapenda "love handles", mafupa mafupa tupa kulee!
Hbr za kupotea swahiba?
Kheri ya mwaka 2016
Mie mtu wa mishe za usiku. Kulala kwa nadra. Hapa kazi tuHey Angel. Tupo, hapa Kazi Tu!
Hujalala bado?
Happy New Year to you as well.