Unene ni ugonjwa mbaya, sijui kwanini watu wanaukumbatia!

Unene ni ugonjwa mbaya, sijui kwanini watu wanaukumbatia!

Ni hivi hatuvitoi hivi vitambi, na vipara vipo njiani vyaja
 
Mbona mtoa uzi hajataja jinsia lkn nyie mwawasakama wanawake tu????au hakuna wanaume wenye vitambi vya kuning'inia????au mwafkir wanawake wanavifurahia vtambi vya wanaume????
kweli wanaume kuwa na vitambi kama ectopic haipendezi kabisa. inakata kote kote
 
Mbona mtoa uzi hajataja jinsia lkn nyie mwawasakama wanawake tu????au hakuna wanaume wenye vitambi vya kuning'inia????au mwafkir wanawake wanavifurahia vtambi vya wanaume????
yaani popote wakiona key wanafunguka tu jamani hili jukwaa la tiba loo
 
Hamjambo wapendwa,

Naanza kwa kusema jamani kunakuwa na ongezeko kubwa la watu kuota vitambi na kunenepa ovyo.

Yapo madhara mengi sana yatokanayo na unene kama kuongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu.

Vijana jiepusheni na vitambi vya kushtukia za hivi. Fanyeni mazoezi na kudhibiti chakula.
Kiongozi, unazungumzia kama huu au
 
Attachments

  • Masogange 2.png
    Masogange 2.png
    118.3 KB · Views: 77
Kitambi nomaaa..kuna age ukiwa ukimuona mwenzako mnene unamuonea donge..ila ukifika age flani kama unakitambi unajichukiaaa..na shuuli ni kukiondoaa sii kazi rahisi kujikondesha/kuondoa Kitambi
 
Back
Top Bottom