Unene Unene Unene

Unene Unene Unene

Sarafina1

Senior Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
153
Reaction score
85
Habari zenu wapendwa,

Natumaini wote mu wazima wa afya nawatakia heri ya mwaka mpya wote. Mwenzenu nina tatizo nina mtoto mdogo wa umri wa miezi kumi (10/12), tatizo toka nijifungue kila siku iendayo kwa Mungu nazidi kunenepa sio kwamba nakula sana la hasha mara nyingi jioni sili kabisa. Niliona humu kuna mtu ameshauri juice ya ukwaju na akasema ukinywa itasababisha uharishe mafuta yote mwilini nimejaribu matokeo yake nikinywa ndio nafunga kabisa sipati choo kikubwa siku mbili mpaka tatu. Kwa kweli huu unene unanikera na kunikosesha raha wapenzi.

Wataalamu nisaidieni ninywe nini au nifanye nini ili niweze kupunguza huu mwili maana kila ninachojaribu matokeo nazidi kunenepa. Na pia wakati mjamzito nilikua na tumbo kubwa sana nilipojifungua nimelifunga lakini bado ni kubwa na lenyewe nifanyaje liweze kurudi hali ya kawaida, ningependa pia kujua umri sahihi wa kumuachisha mtoto kunyonya ni upi kwani nimepanga akitimiza mwaka mmoja nimuachishe. Nisaidieni wana jf
 
je unatumia njia ya kupanga uzazi?mfano sindano,vipandikizi au majira maana haya nayo hunenepesha
 
je unatumia njia ya kupanga uzazi?mfano sindano,vipandikizi au majira maana haya nayo hunenepesha

Situmii njia za kisasa za uzazi wa mpango ndugu yangu natumia kalenda tu
 
Napenda kukusaidia kimawazo pia jamii kwa ujumla namna utakavyoweza kupambana na tatizo la unene na baadaye kufurahia maisha yenye afya njema. Kwa kutaka kutatua tatizo kama la kwako fuatilia maelezo muhimu ya kuhusu products za lishe za asilia hapa chini.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

GOLDEN SIX

Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Hypomnesis
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-
 
Habari zenu wapendwa,

Natumaini wote mu wazima wa afya nawatakia heri ya mwaka mpya wote. Mwenzenu nina tatizo nina mtoto mdogo wa umri wa miezi kumi (10/12), tatizo toka nijifungue kila siku iendayo kwa Mungu nazidi kunenepa sio kwamba nakula sana la hasha mara nyingi jioni sili kabisa. Niliona humu kuna mtu ameshauri juice ya ukwaju na akasema ukinywa itasababisha uharishe mafuta yote mwilini nimejaribu matokeo yake nikinywa ndio nafunga kabisa sipati choo kikubwa siku mbili mpaka tatu. Kwa kweli huu unene unanikera na kunikosesha raha wapenzi.

Wataalamu nisaidieni ninywe nini au nifanye nini ili niweze kupunguza huu mwili maana kila ninachojaribu matokeo nazidi kunenepa. Na pia wakati mjamzito nilikua na tumbo kubwa sana nilipojifungua nimelifunga lakini bado ni kubwa na lenyewe nifanyaje liweze kurudi hali ya kawaida, ningependa pia kujua umri sahihi wa kumuachisha mtoto kunyonya ni upi kwani nimepanga akitimiza mwaka mmoja nimuachishe. Nisaidieni wana jf
Ukitaka mtoto wako awe na afya nzuri na akiwa mkubwa awe na mapenzi na wewe muachishe maziwa miaka 2 kamili hapo utakuwa umefanya jambo la maana sana mtoto atakuwa na afya bora na maradhi yatakuwa mbali na yeye kabisa. Kuhusu kupunguwa mwili jaribu kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kunywa maji ya Uvuguvugu yaliyo changanywa na Limau na kijiko kimoja na cha Asali kila siku kabla ya kula kitu Asubuhi fanya hivyo usipopunguwa mwili hebu Tembelea hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doct...to-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini-2.html
 
Madawa mengi y kupunguza unene yamekuwa yanabahatisha sana wengine wanakwambia yanafanya kazi na wengine hayafanyi kazi. Ningekushauri hivi:
1. Kuacha kula mchana inasababisha mara nyingi kuuchanganya mwili, hivyo unaupa mwili meseji tofauti na wakati mwingine mwili unashtuka sana. Na unapokuja kula jioni mwili unafidia kukosa chakula cha mchana. Yaani mwili unanyonya chakula kwa nguvu mara mbili. Hivyo, walio wengi huwa inatokea ndio wananenepa zaidi.

2. Depresion: inawezekana una depresion, hivyo chakula huwa kinakufariji. kama una mwili wa hivyo, inakuwa haijalishi aina wala namna unavyokula. Hili ni tatizo la akilini mwako na unapaswa uelewe uhusiano wako na chakula na ukishaujua unaanzia kupigana na yale yanayokufannya ujifariji na kula.

3. Aina ya chakula: wali na ugali unanenepesha kwa kasi mno. Kama unakula carbonhydrate nyingi huwezi pungua, utachoka kujaribu. Punguza vyakula vya carbonhydrate na uanze kula nyama na mboga (salads/vegetables) mfululizo kwa wiki mbili lazima uweze punguza zaidi ya kilo 6 - 10)

4.Angalia shunguli zako. Fanya mazoezi ya kutumia akili zaidi. Fanya mazoezi ya kutumia misuli yote ya mwili.

5. Punguza sukari, kahawa, chai, soda. Kunywa maji mengi, juice, matunda.

*Mpaka hapo utakuwa umemalizana na unene. hatua ya pili ni kuwa mzalishaji wa furaha.
1. Usingoje kufurahishwa, furahisha watu wengine. Fanyia watu mambo mema - tafuta kitu kizuri cha kufanya ujisikie na furaha (something that will give you a sense of worth over and above what you are now!
2. Concentrate on building your hormones/emotions and make sure you are well balanced.
3. Have a positive attitude towards life,

Hii imefanya kazi kwa wengi. Nitashangaa kama ikigoma kwako otherwise kama ukiona inafaa get on (chriiss@hotmail.co.uk)
 
Back
Top Bottom