Unene wa kutoka kitambi unaongoza kuuwa watu wengi kila mwaka duniani

Unene wa kutoka kitambi unaongoza kuuwa watu wengi kila mwaka duniani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Obesity leading to deaths worldwide.
800px-Obesity6.JPG


(IANS) / 15 July 2013


Obesity has reached epidemic proportions worldwide, with around 2.8 million people dying each year as a result of being overweight or obese, according to international health experts.Globalisation has brought fast food culture to Chinese cities, contributing to major obesity problems. A study in 2006 found that over one-fifth of the one billion obese or overweight people in the world are Chinese, Xinhua reported.
obese15072013.jpg


One of the fattest nations in the developed world, Australia also shares this obesity problem. If Australians' weight gain continues at current levels, almost 80 percent of adults will be overweight or obese by 2025, according to Monash University.


To discuss the problem of obesity and evaluate a solution being developed by the Public Health Association of Australia, international nutrition experts met at an obesity and nutrition conference in Sydney.

The rise of multinational fast food outlets has been a key change in our environment leading to fatter foods and fatter people, said Bruce Neal, professor at the George Institute for Global Health in Sydney.
"As fast as we get rid of all our traditional vectors of disease-infections, little microbes, bugs-we are replacing them with the

new vectors of disease, which are massive transnational, national, multinational corporations selling vast amounts of salt, fat and sugar," Neal said.

Over time, consumers in developed countries have become acculturated to larger serving sizes that are well above what's necessary for an enjoyable, sensible and nutritious meal, said Tim Gill, associate professor at the University of Sydney's Boden Institute of Obesity, Nutrition, Exercise and Eating Disorders.

"People will consume a portion that's put in front of them. People will seek value by purchasing the largest portion size, because it's relatively cheap compared to the smaller size. We've just had a disconnect in terms of what we need to eat and what we can purchase," he said.

A 2005 study by American scientists found that diners who ate from a bowl of soup that kept refilling would not only eat far more than normal, but they did not notice that they had eaten more, and did not feel more sated.

Most shoppers base their food choices on price rather than nutritional value, with lower socio-economic status consumers more likely to eat high energy-dense foods such as sugary drinks, said Marion Hetherington, a professor of biopsychology at the University of Leeds.

However, Jennie Brand-Miller, a professor at the University of Sydney's School of Molecular Bioscience, said low-fat diets may not in fact be best for our health.

"Low-fat dietary advice has not been helpful on a population level. It is consistently associated with weight regain. It does not reduce the risk of chronic disease," said Brand-Miller.

"We need to pay more importance to protein. Protein is satiating, and we've undervalued it. We need to pay more attention to the sources of carbohydrate-we need to switch from high GI to low GI carbohydrates," she said.
At the heart of the obesity issue is the question of responsibility, and whether it's up to the consumers to look after their own needs, or industry to provide more healthy foods.

"In Britain, the public health responsibility has been an important initiative in the sense that companies will sign up, they will pledge to reduce the amount of calories in their food, to reduce the amount of salt," said Hetherington.

By lowering salt, sugar and calorie content of their foods independently, industry will not face competitive pressure caused by only some producers providing more healthy foods in the marketplace, she said.
Source. Khaleej Times



 
Kunona




Mtajiri mwenye kunona kwenye picha ya karne ya 17

Kunona ni hali ya mwili kuwa mnene na mzito mno. Neno la mganga ni "adipositas". Kipimo chake ni uhusiano kati ya urefu wa mtu na uzito wake.

Magonjwa yanayotokana na kunona


Kuwa mneme mno kiasi cha kunona kunaleta hatari ningi za kiafya na kusababisha magonjwa kama vile

  • Shinikizo la juu la damu
  • Ugonjwa wa kisukari
  • Ugonjwa wa moyo
  • Kupooza
  • Shida za kupumua
  • Matatizo ya viungo vya miguu na kwenye uti wa mgongo
Watu wanaonona hufa mapema na kuwa na magonwa yningi kuliko watu wembamba wanaokula kiasi jinsi wanavyohitaji chakula.

Sababu za uenezaji kwa kunona


Sababu za kimsingi wa kunona ni kula chakula kingi tena chakula chenye mafuta mengi na kutofanya mazoezo ya kimwili wa kutosha. Kunona kilitokea wakati wote katika historia lakini siku hizi imekuwa tatizo kubwa sana kwa sababu ya mabadiliko ya maisha.
Watu hunenepa kupita kiasi hasa kutokana na sababu kama vile

  • katika mazingira maskini ambako kuna watu wenye njaa kunenepa kunaonekana kama dalili ya kufaulu maishani na ya uwezo
  • watu wanafuata uzoefu wa chakula uliotokea zamani ambako watu wote walifanya kazi mashambani lakini wakati huu hawafanyi tena kazi nzito ya kimwili ila tu wanaendelea kula chakula kingi na kizito kama mababu
  • watu wanaofanya kazi ofisini wakiketi siku yote lakini hawana kazi ya kimwili
  • watu wanaozunguka kwa gari tu au usafiri lakini hawatembei tena
  • watu wanaotumia muda wao nyumbani wakiketi tena ama mbele ya runinga au mbele ya kompyuta

Mtu wa kunona sana

Kipimo cha kunona

Madaktari wanatumia mbinu mbalimbali kukadiria kiasi cha kunona. Kile kinachotumiwa zaidi ni mkadirio ya kipeo cha masi ya mwili (body mass index). Hapa uzito wa mtu mzima hugawiwa kwa mraba wa urefu wake kwa mita.
Kwa mfano mtu mwenye urefu wa 1.71 mita anazidisha 1.71 kwa 1.71 = 2,9241. Akiwa na uzito wa kilogramu 70 hesabu ni 70 : 2,92 = 24,6. Ile 24,6 ni namba ya kipeo cha masi ya mwili chake.
Madaktari husema: kama kipeo hiki kipokati ya 18.5 na 25 mtu huyu ana uzito sawa kabisa. Akiwa na kipeo cha masi ya mwili kati ya 25 na 30 anahesabiwa uwa mnene. Akizidi 30 ananona na akizidi 35 ananona sana na hiki ni kiwango cha hatari kubwa kwa afya.
Kwa mfano wa mtu wetu mwenye urefu wa mwili wa 1.71 mita bado yuko sawa akiwa na kilogramu 73. Akizidi uzito wa 73 kg anaonekana mnene kiasi au zaidi. Kuanzia uzito wa kilogramu 87 daktari atamwambia "Sasa unanona". Akifikia kilogramu 102 ameshanona sana.


Kuzuia au kupunguza kunona

Watu wanashauriwa kubadilisha uzoefu wao wa chakula pamoja na uzoefu wao wa kazi ya kimwili. Tiba hii si vigumu lakini ugumu wake ni moyo wa mtu yaani udhaifu wa watu wanaoshaindwa mara nyingi kubadilisha kawaida yao.

Kuhusu chakula ni vema kuangalia kile tunachokula na kile tunachoacha. Ni vema kuacha au kupunguza sana vyakula vyenye sukari nyingi na mafuta mengi kama vile chipsi, biskuti, peremende, siagi, majarini, kachumbari, chumvi, vyakula vilivyokaangwa, aiskrimu na

soda yenye sukari. Pia kula vyakula vidogo ambavyo vimekaangwa au vilivyo na wanga.

Kinyume chake ni vema kula matunda na mboga majani. Tena kula mara nyingi kidogokidogo kuliko kushiba sana wakati moja.
Kuhusu mazoezi kama kazi yetu ni ya kuketi tunshauriwa kufanya kazi ya kimwili kama mazoezi, michezo au kutembea haraka kwa angalau nusu saa mara tatu kila wiki hadi

 
Mzizi nimeskia kuna jamaa wako survey wanauza dawa ya kuondoa kitambi, una yepi ya kusema kuhusu hii kitu?
 
Niliipitiaga hii mkulu, nakusoma kwa sana. Ile ya kitu ya fungus kwa kitunguu swaumu nataka kujaribu lakini naogopa pressure itashuka!!
Mkuu Kana-Ka-Nsungu Kama unaogopa Maradhi ya Pressure kushuka unaweza kunywa hicho kitunguu saumu kisha ukanywa kahawa ili kuipandisha tena hiyo Pressure yako. Mimi huwa ninafanya hivyo. Nikitumia kitunguu Saumu nikiona Pressure yangu imeshuka sana ninakunywa kikombe kimoja cha kahawa ili kuirudisha Pressure yangu iwe ya kawaida jaribu kisha uje hapa kunipa feedback.
 
Siku nyengine muweke ya kuongeza unene basi
Mwalimu wa vitabu Gaijin Kwani wewe ni Mwembamba unatak kuwa mnene? Ukitaka kuwa mnene kula kila siku Ufuta mbichi kwamuda wa miezi 3 utakuwa mnene au kula white cheece au kula vyakula vya mafuta au kula chips au kula kitomoto utakuwa mnene mpaka utapatwa maradhi ya kufa.
 
Mwalimu wa vitabu Gaijin Kwani wewe ni Mwembamba unatak kuwa mnene? Ukitaka kuwa mnene kula kila siku Ufuta mbichi kwamuda wa miezi 3 utakuwa mnene au kula white cheece au kula vyakula vya mafuta au kula chips au kula kitomoto utakuwa mnene mpaka utapatwa maradhi ya kufa.

Mimi sio mwembamba.

Ila naamini na wembamba wanaotaka kujaa jaa pia wapo.

Huo ushauri kama umewafanyia inda hivi. Ati wale mpaka unene wa kufa!
 
Mzizi hebu naomba uniwekee ile link ya kitunguu swaumu manake mesahau instructions.
Mkuu Kana-Ka-Nsungu
[h=2]Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)!![/h]
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.https://www.jamiiforums.com/jf-doct...o-na-fungus-sugu-home-made-8.html#post5111673
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio mwembamba.

Ila naamini na wembamba wanaotaka kujaa jaa pia wapo.

Huo ushauri kama umewafanyia inda hivi. Ati wale mpaka unene wa kufa!
Mwalimu wangu Gaijin hakuna kitu katika maisha yangu ninacho kichukia kama unene, sasa wewe ukisema unataka uwe mnene kwangu mimi ni kama ni Negative sipendi kukupa ushauri wa wewe kuwa mnene kiafya pia unene haufai hata kidogo. Unene ndio chanzo cha kila maradhi kwa binadamu kwa hiyo siwezi kukupa ushauri eti uwe mnene.
 
MADHARA YA UNENE, YANASHINDA YA UVUTAJI SIGARA!



TAARIFA hii inaweza kuwashangaza baadhi ya watu, lakini takwimu zilizotolewa hivi karibuni zilizowahusisha zaidi ya watu 60,000 nchini Kanada, zinaonesha kwamba unene una madhara zaidi kuliko uvutaji sigara.

Taarifa kwamba unene ni hatari kwa afya, unaweza kuwashangaza watu wengi hasa ukizingatia kwamba hivi sasa watu kuwa wanene na wenye matumbo makubwa, limekuwa ni jambo la kifahari na la kawaida.


Utafiti huo unaonesha pia kuwa kama kusingekuwepo na tatizo la unene wa kupindukia (obesity) kwa watu wengi duniani, basi safari za kwenda hospitali kwa matatizo mbalimbali ya kiafya, nayo yangepungua kwa zaidi ya asilimia 10.


UNENE WA KUPINDUKIA, CHANZO CHA MARADHI

Ni muhimu watu kuondokana na imani potofu kuwa unene ni dalili ya afya njema, badala yake waelewe kwamba unene wa kupindukia ni chanzo cha maradhi ukiwemo ugonjwa wa kisukari (diabetes type 2).


Licha ya vyakula vya mafuta mengi kuchangia unene, vyakula vingine vya kawaida vinavyoliwa na watu wengi, vimetajwa kuwa hatari zaidi kwa kuongeza unene.


Baadhi ya vyakula hivyo ni pamoja na keki, chips, vitumbua, maandazi, soda, nyama za kukaanga, unywaji wa soda, vinywaji vya kutia mwili nguvu (energy drinks) na vyakula vingine vitamu vitamu na vyenye sukari nyingi.


Ni ukweli ulio dhahiri kwamba, unene wa kupindukia una uhusiano mkubwa na magonjwa sugu na una athari pia katika umri wa kuishi binadamu na kwamba soda inachangia sana kuongeza uzito mwilini.


Kujua namna ya kuishi kwa kula vyakula kwa kuchagua kwa kigezo cha kula chenye faida tu mwilini, ndiyo dawa pekee na ya uhakika ya kujikinga na kupambana na maradhi hatari.


Pendelea kula vyakula asilia na jiepushe kula vyakula vilivyotayarishwa na kuhifadhiwa (vyakula vya makopo na vya kwenye maboksi) na badala yake pendelea kula vyakula asilia na vilivyo ‘fresh'. Kama ni nafaka, kula vyakula vitokanavyo na nafaka zisizokobolewa (hili ni muhimu na tunaliongea kila mara).


Jiepushe na ulaji wa kiasi kingi cha sukari (kwa kupitia njia mbalimbali, kama soda, juisi, n.k), kwani sukari inachangia kwa kiasi kikubwa kudhoofisha kinga ya mwili na kuchochea chembechembe za saratani mwilini.


Hakikisha pia unafanya mazoezi mara kwa mara. Hata kama unakula chakula bora kuliko watu wote duniani, kama hufanyi mazoezi lazima utapatwa na matatizo ya kiafya. Mazoezi na shuruba za mara kwa mara, huongeza uzalishaji wa homoni za ukuaji wa mwili (Human growth hormone).


Hakikisha unakunywa maji safi na salama kwa wingi kila siku ili kuuweka utumbo wako safi. Kama inavyoelezwa, kifo huanzia tumboni, huna budi kuhakikisha tumbo lako linakuwa safi kila siku kwa kunywa maji ya kutosha yatayokuwezesha kupata choo kila siku na kwa kufanya hivyo utauweka utumbo wako safi.


Mwisho, hakikisha unapata muda wa kupumzika na kulala usingizi wa kutosha kila siku, kwani ukosefu wa usingizi na kuacha kupumzika vina athari sana kwenye uzalishaji wa homoni muhimu mwilini.
 
heahm1_9may13.jpg


Coke takes anti-obesity campaign global

(AP) / 9 May 2013

Coca-Cola says it will make lower-calorie options and clear calorie labeling more widely available around the world, intensifying a push against critics who say its drinks pack on the pounds.The Atlanta-based company, which makes Sprite,

Fanta and Minute Maid, already offers diet drinks in most markets. But there’s no consistency in their availability, particularly in emerging markets such as China and India.


Coca-Cola also said Wednesday that it would support programs that encourage physical activity and no longer market to kids younger than 12. The company had made a similar promise in 2007 but said the new push would create a ‘global standard’ for the commitment.


It did not elaborate on what changes that would include or set a timetable on when it planned to meet its new goals.

With sugary drinks often blamed for making people fat, Coca-Cola Co. has been more aggressive in trying to convince

customers its products can be part of a healthy lifestyle. Earlier this year, the company aired its first TV ad addressing the matter in the US and has since been rolling out the spot to other countries.


The ad touts Coca-Cola’s wide range of lower-calorie offerings. But executives have also made a point of standing by the company’s full-calorie drinks, saying that physical activity plays an important role in fighting obesity.


‘There is a place for all of our beverages in a healthy lifestyle,’ CEO Muhtar Kent said in a call with reporters.

The announcement from Coca-Cola comes as packaged food companies across the industry look for growth in emerging

markets, where middle-class populations are growing rapidly. As more people head to cities and see their incomes rise, health advocates have warned that growing consumption of packaged foods in such countries could fuel obesity rates as they have in developed nations.


The shifting populations around the world nevertheless represent an enormous opportunity for companies. For example, Coca-Cola has noted that Americans on average drink 403 servings of its various beverages a year. That compares with just 12 servings per year in India and 38 in China.


And the company’s diet options aren’t nearly as popular in such countries as they are back at home. In the U.S., where soda consumption has been declining for years, diet drinks now account for 41 percent of sales for the flagship Coke brand. That’s up from single-digits in the 1980s.


Even in major Chinese cities, by contrast, the percentage of sales that diet options account for is in the ‘high single digits,’ Kent said.


Coca-Cola Co. says its goal is to have diet options available wherever regular versions are sold. But that doesn’t mean there would be a diet alternative for every particular brand. For example, if a store in India sells Coke it might also offer Sprite

Zero, which doesn’t have any calories, to meet the goal.

The company also says it’s working to have cans and bottles around the world display calories counts on the front of labels, as it does in the United States.
Coke takes anti-obesity campaign global - Khaleej Times
 
Kuna namna nzuri ya kupumguza uzito na vitambi kwa kutumia clean 9 na life style 30. Kama upo commited and u real want to shed off some kgs npigie 0752720276.programme ni nzuri ya asili na hainj madhara
 
Back
Top Bottom