Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ebana eeeh huyo si ndo yule mbebs wa UK mwenye kiblogu chake kile cha fasheni na urembo? bwa! ha! ha! ha!Hapo liposuction inahusika zaidi.
Hapo liposuction inahusika zaidi.
ebana eeeh huyo si ndo yule mbebs wa UK mwenye kiblogu chake kile cha fasheni na urembo? bwa! ha! ha! ha!
ahahaaaa pamoja bwana mzee wa mabebsNjugu mawe wee
Nadhani cha msingi ni mazoezi tu hasa ya streght na balance diet kwa sababu it seems mafuta yanakimbilia kwenye mikono.. Ngoja wataalamu kina EMT na wengine waje waelezee
Hilo nalo neno..ina maana hakuna solution??Mie siyo expert bana. Lakini tofauti na wengi wanavyofikiri, the rule of thumb is that "you just can't spot remove fat". Hii ina maana kuwa hutaweza kuondoa fat from a specific part of your body just by working exclusively on that particular body.
Kwa mfano, hutaweza kupunguza unene kwenye tumbo kwa kufanya tuu mazoezi ya crunches and sit ups. Hivyo hivyo, kwa mwanamke ni vigumu kupunguza unene kwenye hips au mikono kwa kufanya mazoezi yanayolenga hizo sehemu tuu.
Njia pekee ya kupunguza unene kwenye sehemu fulani za mwili ni kupunguza the overall body fat. Hii inawezwa kufanywa kwa kupunguza calories mwilini. Kama ni mwanamke hakikisha unakula calaories 1,000 maximum kwa siku. Kwa mwanaume maximum ni 1,500.
Baada ya kutimiza ulichotaka hakikisha unarudi kula recommended calories kulingana na umri, size, urefu, jinsia na life style yako and your sex life too. lol. Kwa mujibu wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), average ya calories kwa siku ni 1,800. Lakini kwa Tanzania, data za mwaka 1995 zinasema kuwa tulikuwa tunakula calories kati ya 2500 na 3000. Sijui leo itakuwa imeongezeka au kupungua?
Lakini kupunguza calories tu unazokula calories unazokula itakuchukua muda mrefu kupunguza unene. Kwa hiyo, to speed up rate ya kupunguza fat itakubidi ufanye mazoezi pia.
Mazoezi mazuri ni cardiovascular. Ila kuna uwezekano sehemu ambazo umepunguza unene zikawa "flabby" aka legelege. You want a toned hands, siyo legelege, don't you? Kwa sehemu za mikono hii inaweza kuonekana wazi kabisa. So, hapo itakubidi u-top up na mazoezi ya kunyanyua vitu vizito (strength exercises). Kama ni hips, then cyclising inaweza kusaidia. Push ups zaweza kusaidia pia as ni sehemu ya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito. Mwili ni mzito ati.
Angalizo: Kuna baadhi ya watu ambao naturally wana bornes kubwa. Kwa hiyo, hata ukipiga mazoezi, kuna uwezekano mkubwa usione mabadiliko.
Mie siyo expert bana. Lakini tofauti na wengi wanavyofikiri, the rule of thumb is that "you just can't spot remove fat". Hii ina maana kuwa hutaweza kuondoa fat from a specific part of your body just by working exclusively on that particular body.
Hilo nalo neno..ina maana hakuna solution??