Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
UNESCO: UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA HAKI YA KUPATA TAARIFA WAZIDI KUFINYWA DUNIANI
UNESCO imeripoti kuwa waandishi wa habari wanatendewa maovu wanapokuwa kazini hasa kufuatilia matukio ya migomo na maandamano. Ripoti imeonyesha polisi wamekuwa wakivunja uhuru wa vyo vya habari kwa nusu ya mwaka wa 2020
Yameripotiwa matukio ya Januari hadi Juni ambayo yalihusisha waandishi kunyanyaswa katika maandamano 21 yaliyotokea duniani. Waandishi walikamatwa na wengine waliuawa.
Ripoti imeonyesha polisi wakikiuka sheria kuliko miaka iliyopita. Mwaka 2015 maandamano 15 yalikuwa na ugumu kwa waandishi kuyafuatilia kutokana na polisi kukiuka sheria, mwaka 2019 matukio 32 yalionyesha kuwazuia waandishi kufanya kazi yao kwa weledi
Hii inaonyesha kuongezeka kwa changamoto dhidi ya uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa kupata taarifa katika maeneo yote duniani. Ripoti hiyo iliona kuwa waandishi 10 waliuawa wakiwa wanafuatilia matukio ya maandamano kwa miaka mitano iliyopita
Madhara mengine waliyopata waandishi ni pamoja na ulemavu wa kudumu kama upofu uliosababishwa na risasi za mpira walizorushiwa na polisi
Mkurugenzi mkuu wa UNESCO amesema, waandishi wanakazi kubwa ya kuwahabarisha wananchi kuhusu kinachoendelea kwenye maandamano. Kwa miaka mingi UNESCO imekuwa ikichagiza ili wafanye kazi bila woga wa kukamatwa
Hivyo wametoa wito kwa wadau wa habari kuhakikisha usalama kwa waandishi, ikiwa ni pamoja na kuiimarisha jeshi la polisi kisheria ili wajue namna ya kufanya kazi na vyombo vya habari, pia kuta vifaa na mafunzo wanahabari wanaokwenda kwenye matukio ya maandamano na migomo
UNESCO inatoa msaada wa kitaalamu kwa nchi wanachama ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo kwa polisi na vikosi vya ulinzi
==
UNESCO sounds the alarm on global surge in attacks against journalists covering protests
Paris, 14 September — A new UNESCO report highlights a sharp increase in the global number of protests during which the police and security forces violated media freedom in the first half of 2020. Between January and June this year, 21 protests around the world were marred by violations of press freedom, including protests in which journalists were attacked, arrested and even killed.
UNESCO’s new report, Safety of Journalists Covering Protests – Preserving Freedom of the Press During Times of Civil Unrest, points to a wider upward trend in the use of unlawful force by police and security forces over the last five years. In 2015, journalists covering 15 protests worldwide were impeded by the police and security forces. By 2019, that number more than doubled to 32. The report suggests that a troubling new threshold has been crossed, revealing a significant and growing threat to media freedom and freedom of access to information in all regions of the world.
The report also found that ten journalists were killed while covering protests over the last five years. Each of these killings was condemned at the time by UNESCO's Director-General.
In some protests up to 500 separate violations took place, according to the Committee to Protect Journalists. In some cases, including during protests linked to the Black Lives Matter movement, violence resulted in permanent injuries, such as those sustained by several journalists blinded by rubber bullets or pepper balls.
Launching the report, UNESCO Director-General Audrey Azoulay underscored that the freedom to inform citizens on the causes of unrest and the response from state authorities are of vital importance for democracies to thrive.
Journalists have a critical role in reporting and informing audiences on protest movements. For many years, UNESCO has been raising global awareness to ensure that they can do this safely and without fear of persecution, and training security forces and the judiciary on international norms in freedom of expression.
The figures in this report show that much greater efforts are needed. We call on the international community and all relevant authorities to ensure that these fundamental rights are upheld.
Audrey Azoulay, UNESCO Director-General
The report finds that during this five-year period, protests around the world have been rooted in concerns about economic injustice, government corruption, the decline of political freedoms, and growing authoritarianism. It details the different abuses journalists face when covering protests including surveillance, harassment, intimidation, beating, being shot at with lethal or non-lethal ammunition, detention, abduction and the deliberate destruction of equipment.
It also contains concrete recommendations for all actors involved, from media outlets and national authorities to international organizations, to ensure better protections for journalists.
These include: strengthening training for police and law enforcement actors on freedom of expression and appropriate behaviour in dealing with the media; providing appropriate training and equipment to journalists, including freelancers, sent to cover demonstrations; appointing national ombudsmen to hold police accountable for the use of force against journalists during demonstrations; and strengthening national mechanisms for the safety of journalists.
UNESCO provides technical assistance to Member States, including training for police and security forces on upholding press freedom and freedom of expression.
The report is an issue brief in the UNESCO Series on World Trends in Freedom of Expression and Media Development.