UNESCO: Wenyeji wa Ngorongoro Wahame. Wafanyakazi wa NCAA na Mahoteli waishi nje ya Hifadhi

 
Wahamushe tu mbona wa ubungo waliamishwa kupisha barabara. Ukwetu kwetutuiondoe kunusuru hifadhi
 
Wahamishiwe uraiani jamani wamasai wameshakuwa kama wanyama huko polini,wasaidiwe waletwe huku wachangamane na binadamu badala ya wanyama
Uliwasikia wapi wakilalamikia hiyo hali
 
Mazungumzo na maelewano ni muhimu. Hata unesco wana maslahi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…