Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kiwingu kiaje wakati ni ubunifu mkuu??Wazee wa tiss waliona analeta kiwingu,hata mlimani city last time sikuliona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwingu kiaje wakati ni ubunifu mkuu??Wazee wa tiss waliona analeta kiwingu,hata mlimani city last time sikuliona
Wabunifu wangapi wameendelezwa na mazombie.Kiwingu kiaje wakati ni ubunifu mkuu??
Inawezekana lakini ni tooo weakUtengenezaji wa gari za umeme unataka utaalamu mkuwa huandisi wa umeme na electronic.
kuna mada nyinyi nilishawi kueleza hapa JF ila niliishiwa kuchekwa na kutukanwa. kwa vile ukisafiri nje unaona wenzetu sio dunia tunayo kaa sisi
kama hii teknolojia umeme kuzaa umeme bila kutumia mafuta wala nguvu ya upepo wala maji.View attachment 2468040
View attachment 2468041
Inawezekana lakini ni tooo weak
Nazungumzia hapo kwenye motor+motor ili kuzalisha umeme
Unadhani Ni simu hioMbona sioni batteries hapo au inakuaje?
Na vipi inakaa mbele au nyuma?
Mimi nimesema wap ni ndogoUnadhani Ni simu hio
Battery ya kupeleka gari kilometa 100 na zaidi si ndogo
Tesla wanayo sema hio gari Ni mkasi sanaWakiweza kutengeneza battery ya one charging for at least 850 km itakuwa poa zaidi.
Unavotaka uione kwa juu hapo Kama Ni simu vileMimi nimesema wap ni ndogo
Itaweza jichaji tu endapo Kuna engine ya mafuta itakayofua umeme wa kuchaji hizo batteryIla kuna njia ambazo gari ikiwa inatembea inachaji kwa ili.
Hii project tz sijui kwa nini wamelala wakati ghana wanafanya tena gari za maana
brand inaitwa kantakaView attachment 2467959
View attachment 2467960
Itaweza jichaji tu endapo Kuna engine ya mafuta itakayofua umeme wa kuchaji hizo battery
Kama Ni umeme tupu Basi umeme utakao weza urudisha kidogo tu Ni when braking au unashuka downhill badala ya kutumia brake upoteze energy as heat hapo motor ita engage na kufua umeme
Unachotaka wewe Ni free energyUtengenezaji wa gari za umeme unataka utaalamu mkuwa uhandisi wa umeme na electronic.
Kuna mada nyinyi nilishawi kueleza hapa JF ila niliishiwa kuchekwa na kutukanwa. Kwa vile ukisafiri nje unaona wenzetu sio dunia tunayo kaa sisi.
Kama hii teknolojia umeme kuzaa umeme bila kutumia mafuta wala nguvu ya upepo wala maji.View attachment 2468040
View attachment 2468041
Unachotaka wewe Ni free energy
Hio kitu hakuna
Sasa hapo umeme kuzaa umeme ndo Nini
Nikiwa young nishawahi weka motor hivo moja naipa umeme wa battery then inazungusha ingne ule umeme wake Sasa ndo natumia kuwashia LED labda
Hio cycle haiwezi endelea yenyewe na Wala hakuna utakachovuna hapa
Unahisi unaweza weka motor ya hp 10 hivo uingize 10hp afu izungushe motor ya 50hp ili iwe faida kwamba input kidogo out put kubwa?
Mbn imawezekqna kuchaji nyumbani kuna adapter ya kuchomekq sio lazima uende kwenye power stationHizi gari zingekuwa zinachajiwa hata nyumbani iata mim ningebadilisha, mafuta yanayumba yumba sanaa
Kwa sasa china ni moja kati ya nchi inayoongoza sana kuuza magari ya umeme kuliko kampuni ya marekani na ujerumani huku wakitoa uhakika ukinunua wanatoa vipuli bure kwa wateja wao kwa miaka mitatu hili limefanya magari haya kupendwaTesla wamekula za uso gari zao bei Sana, zinatembea km nyingi lakini bei imezidi, wanaweka bei kubwa wakati China kashaanza kuuza mtaani kila kona.
Perpetual motion is the motion of bodies that continues forever in an unperturbed system. A perpetual motion machine is a hypothetical machine that can do work infinitely without an external energy source. This kind of machine is impossible, as it would violate either the first or second law of thermodynamics or both.Utengenezaji wa gari za umeme unataka utaalamu mkuwa uhandisi wa umeme na electronic.
Kuna mada nyinyi nilishawi kueleza hapa JF ila niliishiwa kuchekwa na kutukanwa. Kwa vile ukisafiri nje unaona wenzetu sio dunia tunayo kaa sisi.
Kama hii teknolojia umeme kuzaa umeme bila kutumia mafuta wala nguvu ya upepo wala maji.View attachment 2468040
View attachment 2468041
Tesla ile truck yao wamedai inaweza kwenda 800km/charge!Wakiweza kutengeneza battery ya one charging for at least 850 km itakuwa poa zaidi.
Mimi niliyeona nje sio mjinga .ila acha nikae kimya utanikumbuka