Mifumo ya kuchajia ikojeKwa sasa china ni moja kati ya nchi inayoongoza sana kuuza magari ya umeme kuliko kampuni ya marekani na ujerumani huku wakitoa uhakika ukinunua wanatoa vipuli bure kwa wateja wao kwa miaka mitatu hili limefanya magari haya kupendwa
Unqchaji kwa kutumia umeme wa nyumbani unqponunua unapewa pamojq na adapter ambayo kuchaji kunachukua masaa 6 kujaa hivyo hakuna kuhofu tenaMifumo ya kuchajia ikoje
Lakini kwa vyovyote ilivyo magari ya umeme ni mhimu kwa mstakabali wa mazingira na mabadiriko tabia nchiTesla ile truck yao wamedai inaweza kwenda 800km/charge!
Japo hawajaweka wazi hizo 800km ni ikiwa na mzigo kiasi gani..
Volkswagen ID. 7 inafika 600km sahivi.Wakiweza kutengeneza battery ya one charging for at least 850 km itakuwa poa zaidi.
Hakika mkuu!Lakini kwa vyovyote ilivyo magari ya umeme ni mhimu kwa mstakabali wa mazingira na mabadiriko tabia nchi
Kipanya wamemfanyaje tenaUzuri yaliyomkuta kipanya kila mtu anajua
kuijaza full charge inaweza ikala Units ngapi.?Unachaji kuna inverter ya kununua ambayo itaweza kuchajisha muda mchache. Mbona vipo wazi sana.
Kuna injini ukichaji ikiwa full inatembea km 340 na hapo ndio teknolojia imeweza zaidi.