MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Nawafokea kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaani Tanzania.
Kwa bahati mbaya ninapofungua nyuzi nyingi humu JF, sipati ile intellectual content, yaani taarifa zilizo na facts and figures au proof ambazo zinaweza ku substantiate allegations made au hypothesis iliyokua put forward. Aidha, story nyingi haziko balanced, yaan ni za upande mmoja tu wa anayesema bila kujali umuhimu wa kusikia upande unaosemwa pia.
Kimsingi, ma-mataarifa na ma-nyuzi mengi humu ni full miropoko, yako motivated na hisia za kisiasa, kiuchumi, kidini, kimapenzi, kijinsia na kikabila. Yaani ni ujinga na ukanjanjai wa first class. Ma- nyuzi hayana swagger, yapo yapo tu kama maviporo yaliyo chacha. Ila wapo watu wachache ambao wanaleta nyuzi analytical na angalau unaweza kusoma na ku-appreciate. Still bado ma- nyuzi mengi kwa sehemu kubwa ni misplaced exposure of ignorance ya watoa nyuzi.
Naomba mjiratibu na mmakinike msifanye JF kama platform for showcasing your ignorance.. Nawafokea tena kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iitwayo Tanzania
Aidha, bila ya kupepesa macho, uzi huu uingizwe kwenye katiba mpya, kama unabisha, andamana kama babu yako Odinga.