sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Ni kama vuguvugu limepungua, wadhalimu wanaendelea kujilia vyal, na Kama mtu hajajeruhiwa au kupoteza ndugu ndio hata hawezi kumbuka kabisa.
Wananchi wako busy kwenye challenge za wasanii.
Ni masikitiko makubwa kwa damu ya raia iliomwagwa makusudi na kwa majivuno kisha haya yakawa ndio matokeo. Mungu awape nfuvu waliopoteza wapendwa wao, naamini damu zao zitalipwa na zitalipwa pakubwa.