Unfortunatly tumesharudi kucheza challenge za wasanii, nchi ikienda kombo

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Ni kama vuguvugu limepungua, wadhalimu wanaendelea kujilia vyal, na Kama mtu hajajeruhiwa au kupoteza ndugu ndio hata hawezi kumbuka kabisa.

Wananchi wako busy kwenye challenge za wasanii.

Ni masikitiko makubwa kwa damu ya raia iliomwagwa makusudi na kwa majivuno kisha haya yakawa ndio matokeo. Mungu awape nfuvu waliopoteza wapendwa wao, naamini damu zao zitalipwa na zitalipwa pakubwa.
 
Still maisha lazima yaendelee, kwani mboso ndo alishika mtutu. Mimi nmepoteza mdogo wangu bahati tulimzika. Kwahiyo ndo tuomboleze maisha yetu yote. Ety tuishi na mihasira kisa ccm. Muda ukifika itatoka tuu.
Weekend njema wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…