"Nendukalime yako".. in that voice
Mimi mkulima huku machakani jana nimeuza maharage ya njano kwa shilingi 2150 kwa Kg yakiwa Shambani kwa hiyo kwa bei ya 3000 kwa kg kwa Dar ni sahihi.
Ni kwanini yamepanda kiasi hicho?Mimi mkulima huku machakani jana nimeuza maharage ya njano kwa shilingi 2150 kwa Kg yakiwa Shambani kwa hiyo kwa bei ya 3000 kwa kg kwa Dar ni sahihi.
Ushawai kulima wewe?Unga kilo ni shilingi 2200 kwa baadhi ya sehemu huku Dar inatarajiwa kufika 3000 tukiingia mwezi wa pili.
Walanguzi ndo wanufaikaji wakubwa na sio wakubwa kwahiyo serikali isidhani kuwa wakulima ndo wananufaika la hasha wanaokula mema sasa hivi ni walanguzi
Huu mfumuko ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa acha wakulima nao wafaidike na kilimo chao,nadhani hiii iendelee hivi hivi ili vijana tujue kuwa kilimo DiliWakulima pia wananufaika acha wale walichopanda ukiona pamoto kula chapati za unga wa bakhresa na azania maji ya baharini yana chunvi supu tosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Demand ni kubwa mkuu.