Unga kilo shilingi 2,200, Serikali iingilie kati

Unga kilo shilingi 2,200, Serikali iingilie kati

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Unga kilo ni shilingi 2200 kwa baadhi ya sehemu huku Dar inatarajiwa kufika 3000 tukiingia mwezi wa pili.

Walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa na sio wakubwa kwa hiyo serikali isidhani kuwa wakulima ndio wananufaika la hasha wanaokula mema sasa hivi ni walanguzi

Huu mfumuko ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unga kilo ni shilingi 2200 kwa baadhi ya sehemu huku Dar inatarajiwa kufika 3000 tukiingia mwezi wa pili.

Walanguzi ndo wanufaikaji wakubwa na sio wakubwa kwahiyo serikali isidhani kuwa wakulima ndo wananufaika la hasha wanaokula mema sasa hivi ni walanguzi

Huu mfumuko ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawai kulima wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakulima pia wananufaika acha wale walichopanda ukiona pamoto kula chapati za unga wa bakhresa na azania maji ya baharini yana chunvi supu tosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa acha wakulima nao wafaidike na kilimo chao,nadhani hiii iendelee hivi hivi ili vijana tujue kuwa kilimo Dili

Haya ya kuuziwa unga kilo sh 600 ndio sababu hata vijana hatutaki kulima maana hatuoni faida ya hicho kilimo

Unga uende bei sawa na mchele vitu viende parallel yani hivyo wakulima nao wafaidike hata siku moja moja.
 
Back
Top Bottom