santana delux man
Member
- Dec 4, 2017
- 15
- 12
Tunaomba serikali itekeleze mambo yafuatayo 2018
1.Mimba iwe miezi minne baada ya miez 9 maana wamechoka kubeba[emoji12] [emoji12] [emoji12]
2.vocha ziuzwe mia 4 na mia 9 ili tupate mia za kukwangulia[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
3.chumvi itolewe bure sukari iuzwe[emoji3][emoji3][emoji3]
4.nauli ya ndege kwenda south iwe bure manaake ni mteremko
5.sukuma wiki ichunguzwe kwann haiwezi sukuma mwezi[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
6.kuwepo na form za kwenda jela[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
7.Siku za mwizi walau ziwe 90 maana uchumi umebana
8.nakujaaaaaa