Unga unammaliza KR Muller wa Wachuja Nafaka na TMK Family

acheni promo ya nyimbo
hiyo.........
ustaa na skendo
....karudi kwa mzee wafitina au anataka ajiunge na babu talent afanye kolabo na wasafi kama bb benz
 

Ana miaka mingapi huyu jamaa?
 





Huyu ni msanii aliyekuwa maarufu wa nyimbo za Bongofleva KR Mullah. Inasemekana ni mtumia sembe mzuri!

Chanzo: Muungwana blog!
 
Huyu si alisema atamshauri tid aache unga,,,,,nini kimemsibu tena??
 
hilo si la kuhuliza Kwa KR ni kweli mtumiaji Mzuri saanaa ..afu kingine jamaa hajipendi ni Mchafu sanaa sijui kwanini
 
Huyu ni jamaa wa akina CHEGE na TEMBA, vipi amefika huku jamani?
 
KR Mullah jibaba CD120, Stress na muziki lazma upige sembe mzee
 
Huyu jamaa kaanza Muziki Mwaka 1997 ila ana Album Moja Tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…