Unga unammaliza KR Muller wa Wachuja Nafaka na TMK Family

Daah hiyo pensi nayo inamuongezea uzito pensi gani hiyo kama mtambaa wa kutolea unga kwenye mashine ya kusaga.
Post yako imenifanya nisiendelee kusoma huu uzi, umenifunga breki kama za kuku.!
 
Mchuja nafaka katika ubora wake!,hamna namna ukishachuja nafaka lazima usage upate 'unga' ni kawaida tu.
 
yeye mwenyewe kwenye wimbo wa kamua alisema wao ni "majitu yenye asili ya kimentali" kwahiyo tushingae ndo maisha ya mamentali hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…