masanza1
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 288
- 139
TID anakaa kwao till today? aisee
Kazi tunayo kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TID anakaa kwao till today? aisee
Gangsters With Matatizo [emoji2]Ndo nn mkuu?
39Ana miaka mingapi huyu jamaa?
Post yako imenifanya nisiendelee kusoma huu uzi, umenifunga breki kama za kuku.!Daah hiyo pensi nayo inamuongezea uzito pensi gani hiyo kama mtambaa wa kutolea unga kwenye mashine ya kusaga.
1994Huyu jamaa kaanza Muziki Mwaka 1997 ila ana Album Moja Tu..
TID Mnyama mla UngaTeja Msafi🙁
Akamatwe haraka aoneshe anaponunulia na pusha wake ni nani?
Itakuwa TID kamshauri na yeye Avute UngaHuyu si alisema atamshauri tid aache unga,,,,,nini kimemsibu tena??