Unga unammaliza KR Muller wa Wachuja Nafaka na TMK Family

Unga unammaliza KR Muller wa Wachuja Nafaka na TMK Family

Hapo awali TID mnyama aliwahi kumtetea kr mullah kuwa hatumii madawa na kusema kuwa nature ndio mtumiaji wa hivyo vitu akibisha alete madaktari bingwa wampime kr mullah waone kama ana chembechembe ya madawa kisha na nature pia apimwe, lakini kwa sasa mambo yapo hadharani kr hakuna ubishi tena kawa teja wa kutupwa



1473104884946.png





1473104902910.png






1473104919241.png







1473104931038.png
 
Mbona unga wenyewe hauonekani unajuaje kama alitoka kupiga zake kitwanga chake kimoja cha nguvu maana sio juice ile weka picha kashika ngada kweli tuamini
 
Kwajinsi Tulivyoamka tu tukagundua yaleo kali,kwani niliota sana ndoto za hatalhali njaa niliyokuwa nayo ilinitosha kuwaza niliikumbuka mpka misosi niliyowai kuisaza kuwasimulia mablaza.men noma wengine wanaenda kupakaza mpka nashika kipaza..

Kutwaa nzima yaleo nimeshindia pipi.

Daaah maskin kr AKA kubwa jinga.AKA beberu.
 
Back
Top Bottom