Unga unamuharibu Albert Mangwea

mzee kumbe ulimshtukia kitambo.nani mwingine anatumia unga now?
 
Wasanii wengi wanatumia unga ila gari bado hazijawaka ,gari ikiwaka ndio rahisi kumstukia....huwa wanajidanganyaga wakiwa studio kwamba ukila "MADUDE" basi kwenye 6x6 mechi dakika 90 ndio wazungu wanashuka Airport.
Lord Eyes kajitahidi unga haujamuaribu kihivyo
 
Kweli dunia tunapita Uzi umetaja Ngwea na Langa wote wako chini ya udongo
Langa nae kwenye hii nyimbo yake kamtaja Dj Steve B nae Steve B yuko chini ya udongo
Langa Ni Nomaaa bars zakutosha hizo 2009-Im Gangstar

AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA MWAMBIE MDOGO WAKO AACHE ULIBERALI NA UMBEA(03:08)
 
Huu izi nimeupotia leo 2024 Big ug kwa King kong kwa kulet uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…