DCI imevamia godown moja Canaan, Kasarani, na kufichua kile inachodai kuwa operesheni kubwa ya kupakia upya unga wa mahindi kwa kutumia vifungashio vinavyofanana na vya brands maarufu nchini.
Watu saba walikamatwa katika operesheni hiyo ya Septemba 15.
Ndani ya godown, detectives walipata packets 3,682 za brand moja ya unga, zikiwa na thamani inayokadiriwa kuwa Sh312,120, pamoja na mamia ya packets zenye majina ya brands nyingine tatu maarufu.
Lakini kilichopatikana ndani kinaibua maswali zaidi.
DCI ilisema kulikuwa na mashine za processing na packaging, mizani, vifaa vya kufunga mifuko pamoja na stamps za kuweka tarehe na batch numbers. Lori aina ya Hyundai, KBR 092K, pia lilipatikana likipakiwa bidhaa hizo.
Detectives pia walipata packaging za kilo moja zinazofanana na za kampuni moja maarufu. Representative wa kampuni hiyo aliwaambia wachunguzi kuwa kampuni yao haitengenezi unga katika packets za kilo moja, jambo lililoongeza mashaka kuhusu packaging hiyo.
Sasa Anti-Counterfeit Authority (ACA) imehusishwa kuchukua samples na kufanya analysis, huku representatives wa brands zilizoathirika wakitarajiwa kusaidia katika verification.
Kabla godown hii kugunduliwa, bidhaa hizi zilikuwa tayari zimesambazwa wapi na kwa kiasi gani?