Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 1, 2011 #21 Hawa vijana washamba. Pia Elimu zao ndogo, hawana shule kichwan. Wanahisi kuwa ili ujanja ni kula madawa. Huu ni ushamba.
Hawa vijana washamba. Pia Elimu zao ndogo, hawana shule kichwan. Wanahisi kuwa ili ujanja ni kula madawa. Huu ni ushamba.
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Sep 3, 2011 #22 heri mapowder usoni kuliko powder hii......
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,506 Sep 3, 2011 #23 Muuza Sura said: heri mapowder usoni kuliko powder hii...... Click to expand... sasa mapowder usoni ukila na visivyoliwa si ndio inakuwa dushelele....
Muuza Sura said: heri mapowder usoni kuliko powder hii...... Click to expand... sasa mapowder usoni ukila na visivyoliwa si ndio inakuwa dushelele....
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 8,967 Reaction score 8,547 Sep 3, 2011 #24 SIRLIMU IBWE said: Hawa vijana washamba. Pia Elimu zao ndogo, hawana shule kichwan. Wanahisi kuwa ili ujanja ni kula madawa. Huu ni ushamba. Click to expand... Mkuu hizo sio sababu, nimeona wasomi wengi sana wakipoteza maisha kutokana na unga. Usidhani mvuta sigara hajui madhara yake,au mla uroda kavu kavu hajui madhara yake.....wanajua.
SIRLIMU IBWE said: Hawa vijana washamba. Pia Elimu zao ndogo, hawana shule kichwan. Wanahisi kuwa ili ujanja ni kula madawa. Huu ni ushamba. Click to expand... Mkuu hizo sio sababu, nimeona wasomi wengi sana wakipoteza maisha kutokana na unga. Usidhani mvuta sigara hajui madhara yake,au mla uroda kavu kavu hajui madhara yake.....wanajua.