Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mapowder usoni ukila na visivyoliwa si ndio inakuwa dushelele....heri mapowder usoni kuliko powder hii......
Mkuu hizo sio sababu, nimeona wasomi wengi sana wakipoteza maisha kutokana na unga. Usidhani mvuta sigara hajui madhara yake,au mla uroda kavu kavu hajui madhara yake.....wanajua.Hawa vijana washamba. Pia Elimu zao ndogo, hawana shule kichwan. Wanahisi kuwa ili ujanja ni kula madawa. Huu ni ushamba.