Unga wa mahindi Kenya kilo moja ni 4100 shilingi za Kitanzania

Hii inflation instead kona zote za dunia siyo Tanzania tu.

Wananchi Kenya wasema Uchaguzi hautafanyika kama bei ya sembe itaendelea kupanda, kwa sasa kilo 1 ni Ksh 70

Source al jazeera news
 
Hiyo bei ya Al-Jazeera ni nafuu sana! Bei ya chini kuliko Tz.
Reality ni takribani Ksh. 200/-, Kwa mujibu wa KTN
 
Hapa Dubai inlation iko juu sana takriban bei ya vyakula vimepanda hadi 20% liter ya petroli ni $1.10, na ni nchi yenye mafuta mengi
 
Hii inflation instead kona zote za dunia siyo Tanzania tu.

Wananchi Kenya wasema Uchaguzi hautafanyika kama bei ya sembe itaendelea kupanda, kwa sasa kilo 1 ni Ksh 70

Source al jazeera news
Wewe nae nae nikajua zinakutosha kumbe ni mjinga tuu..

Inflation ni tatizo la Dunia sio swala la Kenya wala Tanzania au Sri Lanka,sasa ni ajabu mtu kama wewe unaejiita msomi huelewi Hali hii toka mwaka 2021.
 
Nashindwa kushangaa hivi kuzuia chakula kisiende huko kwa faida yetu or hao majirani
 
Back
Top Bottom