johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo bei ya Al-Jazeera ni nafuu sana! Bei ya chini kuliko Tz.Hii inflation instead kona zote za dunia siyo Tanzania tu.
Wananchi Kenya wasema Uchaguzi hautafanyika kama bei ya sembe itaendelea kupanda, kwa sasa kilo 1 ni Ksh 70
Source al jazeera news
Hatari bwasheeHiyo bei ya Al-Jazeera ni nafuu sana! Bei ya chini kuliko Tz.
Reality ni takribani Ksh. 200/-, Kwa mujibu wa KTN
Kwa bei hiyo bora nile mpunga tuSisi sembe 1700 tatizo nini
Boss, sio kwamba ni sawa tu? Au exchange rate leo inasemaje?Ksh 70 mbona rahisi. Hapa mikese mbona kilo moja ni Tsh 1,500 na watu tunamuona mama anaupiga mwingi?
Unauliza tatizo nini?Sisi sembe 1700 tatizo nini
Wewe nae nae nikajua zinakutosha kumbe ni mjinga tuu..Hii inflation instead kona zote za dunia siyo Tanzania tu.
Wananchi Kenya wasema Uchaguzi hautafanyika kama bei ya sembe itaendelea kupanda, kwa sasa kilo 1 ni Ksh 70
Source al jazeera news
Kamanda aliyechokaWewe nae nae nikajua zinakutosha kumbe ni mjinga tuu..
Inflation ni tatizo la Dunia sio swala la Kenya wala Tanzania au Sri Lanka,sasa ni ajabu mtu kama wewe unaejiita msomi huelewi Hali hii toka mwaka 2021.
Wewe unaonaje, ni kwafaida ya nani?Nashindwa kushangaa hivi kuzuia chakula kisiende huko kwa faida yetu or hao majirani