Nilikuwaga siaminigi uchawi mpaka nilipowaonaga live nilivyoenda tabora mayombo .kwanza kwenye bati unasikia mchanga unachuruzika na vishindo mwenyeji wangu akaniambia wachawi hao nikambishia kwamba wachawi hawapo akanipa unga wa muhogo nipake usoni ila akanipa tahadhari nisipige kelele wachawi watanichukua mana nimewaona nilifanya kama alivyonielekeza na nilishududia live wachawi na tangu siku iyo niliamini wachawi wapo dawa nyingine mbadala ni usembe nao ukipaka na kupulizia unawaona wachawi pale mayombo kuna wachawi sana na ukienda tanga napo wachawi wamejaa