Unga Wa Ngano Ya Kahawia

Unga Wa Ngano Ya Kahawia

Devla

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
74
Reaction score
13
Unga bora wa ngano ya kahawia unapatikana ni mzuri kutengenezea uji wa watoto, kusonga ugali, kupikia maandazi, chapati nk, rangi ya kahawia inayopatikana katika vyakula husaidia katika ukuaji wa ubongo na vlevle unga huu ni mzuri kwa mtu mwenye kisukari, kwa yeyote anayehitaji mawasiliano ni 0752527562
 
Hiyo rangi ya kahawia imetokana na mbegu zake au ndio genetically modifies? tueleweshe maana usije ukawa na madhara.
 
Hii ngano ni fresh kutoka shambani haijachakachuliwa, nimelima mwenyewe mkoa wa njombe wilaya ya makete na hii ngano huku kwetu ni zao kuu
 
Hapana buluga sina, na nimepaki safi kabisa kg@ tsh1400
 
Back
Top Bottom