Unga wa udishe

Unga wa udishe

Mm niliwahi kuutafuta sana huu unga, lkb sikufanikiwa kuupata. Nilisoma bandiko moja humu JF nikapata elimu juu ya huu unga.
 
wanadai unasaigia kua sisimua misuli iliyolegea au kusinyaa, inasaidia watu walioparalyze na kwa wale ambao uume wao umesinyaa kwa sababu tofauti, ila nausomaga tu! sijawahi kukutana nao.
 
Back
Top Bottom