Some times we have to refresh our mind by thinking rationalyNawaacha tu.sababu wana njaa.daa! Nyuzi zingine ni kuchoshana tu bila kujengana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu..sasa unaishijeBahati mbaya ivyo vipengere vyote 6 sina hata kimoja ninachokimiliki, anyway ngoja waje wenye navyo. [emoji104][emoji104]
KimagumashiDuu..sasa unaishije
Mimi nitaanza na huyo anaekula cheti cha ndoaSoma kwa Makini UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA SITA NDANI
Panya 1: Anakula vyeti vyako vya degree ya pili
Panya 2: Anakula cheti chako cha ndoa
Panya 3: Anakula passport yako na safari ni kesho
Panya 4: Anakula hati ya nyumba na kiwanja
Panya 5: Anakula kitabu chako cha dini
Panya 6: Anakula kadi ya kura na ya benki
UTAANZA KUMPIGA PANYA YUPI
Nitaanza kumpiga yule nitakaeanza kumuonaSoma kwa Makini UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA SITA NDANI