Ungeanza kumpiga yupi

Ungeanza kumpiga yupi

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,474
Reaction score
125,866
Soma kwa Makini UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA SITA NDANI
Panya 1: Anakula vyeti vyako vya degree ya pili

Panya 2: Anakula cheti chako cha ndoa

Panya 3: Anakula passport yako na safari ni kesho

Panya 4: Anakula hati ya nyumba na kiwanja

Panya 5: Anakula kitabu chako cha dini

Panya 6: Anakula kadi ya kura na ya benki
UTAANZA KUMPIGA PANYA YUPI
 
Mimi nitawaacha kila mmoja ajisevie nyaraka yake kisha wakimaliza nami naanza kuwala mmoja baada ya mwingine , mbona kwa nyumbani ntwara hiyo ni itakuwa kazi nyepesi Sana. Mmakonde hana mchezo mchezo.
 
Soma kwa Makini UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA SITA NDANI
Panya 1: Anakula vyeti vyako vya degree ya pili

Panya 2: Anakula cheti chako cha ndoa

Panya 3: Anakula passport yako na safari ni kesho

Panya 4: Anakula hati ya nyumba na kiwanja

Panya 5: Anakula kitabu chako cha dini

Panya 6: Anakula kadi ya kura na ya benki
UTAANZA KUMPIGA PANYA YUPI
Mimi nitaanza na huyo anaekula cheti cha ndoa
Hivyo vingine vyote vinapatika tuu wala haimizi kichwa
 
Soma kwa Makini UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA SITA NDANI
Panya 1: Anakula vyeti vyako vya degree ya pili

Panya 2: Anakula cheti chako cha ndoa

Panya 3: Anakula passport yako na safari ni kesho

Panya 4: Anakula hati ya nyumba na kiwanja

Panya 5: Anakula kitabu chako cha dini

Panya 6: Anakula kadi ya kura na ya benki
UTAANZA KUMPIGA PANYA YUPI
Nitaanza kumpiga yule nitakaeanza kumuona
 
Mi ningeanza huyo namba5 hao wengine waendelee, maana najua njaa tu zinawasumbua.
Ila huyu panya namba 2 ningemnunulia na JUISI au SODA ya kushushia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ningeanza na panya 5 maana hawa wengine singekuwepo.
Na hichk cha number 5 tu
 
Huyu wa Sita sina uhakika kama atakuwa ni Panya.
 
Back
Top Bottom